Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 421
- 1,367
Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
Kwanini unataka kuacha mkuu!,hiyo point ndio itakupelekea kuacha ila cha kukusaidia kuwa na msimamo tafuta kampani ya wanywaji wakiwa wanakunywa amua usinywe ukiweza amini una nguvu yakuamua ukishindwa tambua una tamaa na usinenee pombe,amua uamuzi ni wakoWakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
kama uko tayari kweli nicheki PM kuna jamaa anauza dawa unakinai kabisa na kuilaani kila siku.....isipowork out nitakurefund mimi mwenyewe..Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
Mimi nilikua mlevi sana sio tu bia bali viroba pia. Tatizo ni kua nilianza kulewa nikiwa kijana mdogo nakumbuka kuna siku nililewa nikapitiliza siku hiyo nilikimbia sana na kuzunguka mtaa mzima sio siri niliabika sana. Nashukuru kuna mama mmoja alinipa dawa ya kuacha kunywa pombe ila ina masharti kama mawili hivi. Kwanza usilazimishwe na hupewi kwa siri hadi mwenyewe uridhie kabisa kuinywa yaani uwe tayari kuacha pombe. Pili ukishainywa lazima ukae wiki bila kunywa pombe ikitokea ukanywa umeiharibu dawa na utakuwa mlevi mara kumi zaidi ya awali na hiyo dawa haitakua na uwrzo tena wa kukuponya.Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
Tafuta nguruwe anayenyonyesha kamua maziwa yake kidogo changanya kwenye pombe yako ukinywa utatapika sana na hutatamani tena pombeWakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
Huu ndio ushauri murua kabisa na umewahi kufanya kazi kwa watu kadhaaUsiache punguza tu idadi na frequency ya kunywa anza kutumia kila wkend 4 kunywa ukifanya kitu kama kuangalia movie, mpira, kusoma kitabu, kufanya usafi, kuandika story jizoeshe kukaa na pombe ndani alafu huitumii au unakunywa kidogo tu, nunua pombe kali kama grants au ata K vant kubwa weka geto itumie ata kwa wiki 2 kunywa kidogo kidogo.
Anza kufanya mazoezi, fikiria biashara za kukuongezea kipato muda wa ziada kaa na familia yako jifunze kutembelea waliofanikiwa matajiri waliokuzidi kipato. Kama hupendi kusoma vitabu soma ata katiba ya Tanzania ile ya mwaka 1977
Kunywa bia na chakula tu yaani bia iwe ni ya kushushia chakula na si ya kukata Kiu. Ukiweza hicho kuacha ni rahisi.
Duh!! Mkuu huu ushauri wako ni mzuri sana endapo atauzingatia, kikubwa aage kabisa nyumbaniTafuta baa ambayo ipo karibu na kituo cha polisi, piga mambo yako kwa sana, halafu nenda kawaazime bunduki, watakusaidia kuacha pombe
Na bia haishuki na ugali maharage.Ila asiwe anakula nyama na bia
Hapo itakuwa hakuna kushushia
Ni kunywa kisawasawa...
Bia +nyama
🍻🍽️🍣