Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Tiba yako ndo yangu,ukisaidiwa hapa nami nitakuwa nimesaidika. ILA mimi toka tarehe 1/1/21 nimejiwekea mikakati ya kutokunywa kinywaji aina ya kinywaji iitwayo Konyagi na K Vant kwani naona mwaka jana nilikuwa mtu wa kufa kwa kuzidisha na kuyanywa sana majitu hayo, nimeungua midomo, nahisi maini pia si salama. Namshukuru Mungu leo ni siku ya 11 bila kuonja hayo mavitu.

So nami natamani nikifanikiwa hili ndo nije hatua ya pili ya kuiacha beer.

NOTE: Hii sio kauli kwa ajili ya kujihami na karo za January bali inatoka moyoni,kwn nimeyagonga mno na kila mtu akiniona ananiambia ACHA spirits,hawa watu nawaona malaika natafakari sana juu yao kwangu, why me!!
 
Zoezi ni gumu Sana ilo mkuu,linahitaji utayari na kumuomba roho mtakatifu.Pia usijichanganye pande za kilaji ,na friends pia.kama huwa unajisikia na kiu,huwezi acha utapumua siku kadhaa ,siku ya kupiga unafidia siku zote ulizopumzika.
 
Njia uliyoitumia kuanza kunywa Bia ndio hiyo hiyo itumie kuacha kunywa Bia.
Au nasema uongo wananchi wachapa kazi?
 
Hapo cha kufanya
1. jitenge na kampani uliyo nayo kampani hata kama huna hela utalewa tu hamna chenye mtazungumza zaidi ya maswala pombe na vikao hata kama ni cha msiba mtaenda fanyia bar

2.ikane pombe toka rohoni kabisa wala usipite maeneo ambayo yana hivi vitu yani ukipita bar jaribu kupa chukia kabisa

3.anza mahusiano na watu wasio jihusisha kabisa na pombe fatana nao hapo habari ya pombe haitakuwepo

4.badilisha matumizi kuwa na malengo hiyo pesa uliyokuwa unaenda bar ifanyie kitu cha mwendelezo wa kila siku hapo utajikuta huna pesa mfukoni isiyo na mpango hapo huta lewa

5.tafuta ushauri na kaa karibu na viongozi wa dini pengine unakuta si kwa akili yako

Kwa hatua hizi tano huna kampani ya walevi,umeikana pombe kutoka rohoni,una kampani mpya ya watu wasiotumia pombe,huna pesa isiyo na mpango,wewe na ustaadhi ,au padri,mchungaji mlevi gani atakukaribia na hamu ya bia utaipata mda gn

Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
 
Kwanini unataka kuacha mkuu!,hiyo point ndio itakupelekea kuacha ila cha kukusaidia kuwa na msimamo tafuta kampani ya wanywaji wakiwa wanakunywa amua usinywe ukiweza amini una nguvu yakuamua ukishindwa tambua una tamaa na usinenee pombe,amua uamuzi ni wako
 
Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
kama uko tayari kweli nicheki PM kuna jamaa anauza dawa unakinai kabisa na kuilaani kila siku.....isipowork out nitakurefund mimi mwenyewe..
 
Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
Mimi nilikua mlevi sana sio tu bia bali viroba pia. Tatizo ni kua nilianza kulewa nikiwa kijana mdogo nakumbuka kuna siku nililewa nikapitiliza siku hiyo nilikimbia sana na kuzunguka mtaa mzima sio siri niliabika sana. Nashukuru kuna mama mmoja alinipa dawa ya kuacha kunywa pombe ila ina masharti kama mawili hivi. Kwanza usilazimishwe na hupewi kwa siri hadi mwenyewe uridhie kabisa kuinywa yaani uwe tayari kuacha pombe. Pili ukishainywa lazima ukae wiki bila kunywa pombe ikitokea ukanywa umeiharibu dawa na utakuwa mlevi mara kumi zaidi ya awali na hiyo dawa haitakua na uwrzo tena wa kukuponya.
Sasa ipo hivi iyo dawa inachanganywa na pombe ambayo unaipenda sana kwa mfano kama wewe unapenda bia mfano Serengeti, unainunua inachanganywa kwenye hiyo dawa ama kama ni k vant au konyagi ama gongo ni wewe tu. Ukishakunywa ndo basi ukitimiza masharti ndo umepona vivo. Mimi toka December 2015 hadi dakika hii sijawahi kunywa pombe au sijawahi kuwa na hamu hata kuonja tu.Nashukuru sana kama upo tayari nicheki dm nikupe direction .
 
Wakuu kwema?
Pombe pekee ninayokunywa huwa ni serengeti light,so imefikia point nataka niache kunywa kabisa kitu kinachoitwa pombe.kila nikijaribu kuacha nashindwa..mfano jana kizembezembe tu nimejikuta nimepiga chupa 8 za serengeti light.
Naomba mnipe mbinu za kuachana na unywaji wa pombe wakuu.
Tafuta nguruwe anayenyonyesha kamua maziwa yake kidogo changanya kwenye pombe yako ukinywa utatapika sana na hutatamani tena pombe
 
Usiache punguza tu idadi na frequency ya kunywa anza kutumia kila wkend 4 kunywa ukifanya kitu kama kuangalia movie, mpira, kusoma kitabu, kufanya usafi, kuandika story jizoeshe kukaa na pombe ndani alafu huitumii au unakunywa kidogo tu, nunua pombe kali kama grants au ata K vant kubwa weka geto itumie ata kwa wiki 2 kunywa kidogo kidogo.

Anza kufanya mazoezi, fikiria biashara za kukuongezea kipato muda wa ziada kaa na familia yako jifunze kutembelea waliofanikiwa matajiri waliokuzidi kipato. Kama hupendi kusoma vitabu soma ata katiba ya Tanzania ile ya mwaka 1977
 
Huu ndio ushauri murua kabisa na umewahi kufanya kazi kwa watu kadhaa
 
Tafuta baa ambayo ipo karibu na kituo cha polisi, piga mambo yako kwa sana, halafu nenda kawaazime bunduki, watakusaidia kuacha pombe
Duh!! Mkuu huu ushauri wako ni mzuri sana endapo atauzingatia, kikubwa aage kabisa nyumbani
 
Nakushauri kunywa na ulewe haswa.
Ukipoteza fahamu waje wanaume wa shoka wakuvunjie yao huko kwenye tigo yako.
Trust me utaacha pombe haraka sana.!
 
Back
Top Bottom