Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 421
- 1,367
Tiba yako ndo yangu,ukisaidiwa hapa nami nitakuwa nimesaidika. ILA mimi toka tarehe 1/1/21 nimejiwekea mikakati ya kutokunywa kinywaji aina ya kinywaji iitwayo Konyagi na K Vant kwani naona mwaka jana nilikuwa mtu wa kufa kwa kuzidisha na kuyanywa sana majitu hayo, nimeungua midomo, nahisi maini pia si salama. Namshukuru Mungu leo ni siku ya 11 bila kuonja hayo mavitu.
So nami natamani nikifanikiwa hili ndo nije hatua ya pili ya kuiacha beer.
NOTE: Hii sio kauli kwa ajili ya kujihami na karo za January bali inatoka moyoni,kwn nimeyagonga mno na kila mtu akiniona ananiambia ACHA spirits,hawa watu nawaona malaika natafakari sana juu yao kwangu, why me!!