Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Basi huko kafurahi
Basi mchungaji huko alipo kafurahi, sasa atakuwa anaichapa tu bila vikwazo....Haleluyaaa
 
Angekuwa anaumwa magonjwa makubwa kama Kansa nk angestahimili?sidhani kama hii ni sababu pekee ya yeye kujiua kuna sababu nyingine
 
Dada yangu alinifundisha hivi, sio kula siku mtakua sawa na mkeo, kuna siku ataumwa na kulazwa mwezi mzima je utaenda kutafuta mwanamke nje? Jifunze kuvumilia kukosa tendo, usijiendekeze.
 
Dada yangu alinifundisha hivi, sio kula siku mtakua sawa na mkeo, kuna siku ataumwa na kulazwa mwezi mzima je utaenda kutafuta mwanamke nje? Jifunze kuvumilia kukosa tendo, usijiendekeze.
Ushauri mzuri sana.
 
haya xaxa mnao tarajia kuoa walokole kama hujaokoka utapga nyeto mbele ya mkeo mpka uxeme
 
ila tujifunze kuchukuliana mizigo jamani, naamini Kuna ndoa zinakua paradiso kwa kufikiliana vyema na kuchukuliana mizigo, Unaninyima niende wapi?
Hahahhh dah hapo na kumvizia akisinzia unaingiza taratibu tu,
 
Nondo ya dirisha na kwamba ya kiatu inaweza vipi kunyonga mtu mpaka kufa?

Mke hataki kumpa tendo kisa jamaa hajaokoka😄 sijaelewa hapo hio ndoa ilianza vipi ? Mama baada ya kuokoka ndo akawa anabana mapaja au?

Nyuchi zilivyo nyingi hivi jamaa anajipiga kitanzi kisa nyuchi, kwanza huyo jamaa ndio ameokoka haswa yaani hakutaka uchi mwingine zaidi ya mkewe.
 
Wazo la kujiua ndo limenishinda kwenye maisha yangu.
Kwanza naogopa kufa .na Dua yangu kubwa namuomba mungu anifikishe ule uzee wa mwisho kabisaaa
Ule uzee wa kuanikwa Juani?

Huo haufai.

Bora ufe na uzee wa kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…