Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Hela zote hizi zinarudishwa nyumbani kufanya nini?

Any way R.I.P kaka, ulikuwa ushatoboa😭😭😭
Inaonekana ulikuwa ndiyo utaratibu wake kumbe watu walikuwa wanamlia timing. Duania ya sasa ni kosa kubwa kufanya kitu kama hiki. Nakumbuka miaka ya nyuma nilifuatiliwa na watu wakati nilipopitia dukani kwa ndugu yangu jioni wakati anafunga, akanipa bahasha yenye vitabu vya risiti nimsaidie kupeleka nyumbani. Niliondoka na kupitia bar kupata moja. Walikuwa na demu moja mkali akawa anajigonga kwangu ili aniwekee dawa za usingizi kwenye bia.
 
Vyombo vyetu vya usalama sijui huwa vinatumia akili gani pale vinapotoa ushauri wa kiusalama as if majambazi watarajiwa hawajui kusoma na kuandika.

Sasa anavyotoa rai kwa wafanyabishara kufunga cctv camera maeneo ya ofisi zao, inamaana majambazi hawapati hiyo taarifa?

Kwani wakiamua kujifunika uso mtawaona. Au wakiamua kuchukua ushahidi.
 
Kweli? Hebu tupe story zaidi. Mbona kuna mambo ya hovyo sana yanatokea kimya kimya na polisi hawatoi ripoti maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…