Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Kuzindua haikuwa shida isipo kuwa taratibu zingefuatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu zipi ?Kuzindua haikuwa shida isipo kuwa taratibu zingefuatwa
Halafu we ngiri jike huwa unaigiza ni CDM, kwa bahati mbaya CCM wenzako wamekupa nafasi ya kuigiza ambayo mahaba ya CCM yanashindwa kukutoka.Huu ni uzandiki na uhainiView attachment 2631263
Taratibu zipi ndugu, nyie mnaotaka kufuata taratibu mnaweza kwenda kufungua hata leo maana CDM hawajaweka Katazo la uzinduzi, lakini ukweli umeshafahamika.Kuzindua haikuwa shida isipo kuwa taratibu zingefuatwa
Mmmh, aisee...CCM ni wendawazimu....nimekumbuka Jimbo la Ilemela Mbunge wa CHADEMA aliwahi kununua Ambulance serikali wakaikataa,...akapambana sana..Nakumbuka PM Pinda enzi hizo akaingilia kati. Ikapokelewa,...CCM hao wakafanya namna dereva wa halmashauri wakamseti gari ikapata ajali mbaya sana ikawa nyang'anyang'a....kutahamaki gari haikuwa na bima...ikatoka barabarani..Hawakuishia hapo...Mbunge aliyeinunua na kuwakabidhi halmashauri CCM wakamcharanga Mapanga hatari .Ni ngumu mno kufahamu CCM wanasimamia nini ,hasa linapofika suala la huduma kwa wananchi.
Please, please naomba ujiheshimuHalafu we ngiri jike huwa unaigiza ni CDM, kwa bahati mbaya CCM wenzako wamekupa nafasi ya kuigiza ambayo mahaba ya CCM yanashindwa kukutoka.
Unakuwaga khanithi fulani, unapewa nafasi ya kuigiza kama mwanamke, kisha unaonyesha uume hadharani. Ngiripori ww.Please, please naomba ujiheshimu
Hahaha wananchi wenyewe ndo hawa wanashindana nani asifiwe zaidi kwa matumizi mabaya ya pesa ya serikali! Yaani kupanua wigo wa matumizi ya pesa ya serikali kwa kuanzisha miji mikuu miwili yenye kila kitu nayo ni LEGACY?Maintenance cost ya ikulu zote mbili zitalemea walipa kodi sana. Huo nao ni ukweli tu.
Aroooo safi sanaUnakuwaga khanithi fulani, unapewa nafasi ya kuigiza kama mwanamke, kisha unaonyesha uume hadharani. Ngiripori ww.
We kenge nakuheshimu. Mimi siwezi kuwa CCMUnakuwaga khanithi fulani, unapewa nafasi ya kuigiza kama mwanamke, kisha unaonyesha uume hadharani. Ngiripori ww.
Ni hivi kama mradi ulikuwa ni wa CHADEMA basi kuzindua sio mbaya ila kama Chadema ilishirikiana na jamii basi hata mkurugenzi angejulishwa kwa barua kwani siasa ni vita?Taratibu zipi ndugu, nyie mnaotaka kufuata taratibu mnaweza kwenda kufungua hata leo maana CDM hawajaweka Katazo la uzinduzi, lakini ukweli umeshafahamika.
Wadanganye mabwegeWe kenge nakuheshimu. Mimi siwezi kuwa CCM
Nani asiyekujua wewe ? Unafikiri wote humu tulisoma chuo cha UVCCM hapo kivukoni? Kwamba wenzio wapo class we unakoroga chai lumumba?We kenge nakuheshimu. Mimi siwezi kuwa CCM
Kwi Kwi KwiHuo mradi hautambuliwi na mamlaka za maji, hatujui usalama wa maji hayo, labda Yana sumu, kifungiwe kwanza mpaka mamlaka zijiridhishe.
Huyo mtendaji wa Kata afukuzwe kazi haraka sana.
Unadhani Mzaha.....Mpaka Hilo gari bovu arirejeshewa kwanguvu...Nakumbuka kwenye Mkutano wake Mmoja pale Kirumba ilibidi aingie gharama alilete na akawaeleza Wananchii,,ikawa huzuni kuu,hadhira ilifadhaika mno.CCM ni hatari mno.Mmmh, aisee...
Yalikuwa hivi kumbe?
Ubinafsi na uroho wa madaraka wa CCM ni hatari sana!!
Alisusa aliposikia anakwenda kuchangamana na CHADEMA,hata barua hakuijibu....Lingne?Ni hivi kama mradi ulikuwa ni wa CHADEMA basi kuzindua sio mbaya ila kama Chadema ilishirikiana na jamii basi hata mkurugenzi angejulishwa kwa barua kwani siasa ni vita?
Ingekuwa kila mfadhiri anazindua mradi wake mbona ingekuwa vurugu
Sina muda wa kubishana na nyieAlisusa aliposikia anakwenda kuchangamana na CHADEMA,hata barua hakuijibu....Lingne?
Mradi wa CHADEMA??! Una maanisha nini hapo...? CCM nyie ni hamnazo..Ni hivi kama mradi ulikuwa ni wa CHADEMA basi kuzindua sio mbaya ila kama Chadema ilishirikiana na jamii basi hata mkurugenzi angejulishwa kwa barua kwani siasa ni vita?
Ingekuwa kila mfadhiri anazindua mradi wake mbona ingekuwa vurugu