Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

Mmmh, aisee...

Yalikuwa hivi kumbe?

Ubinafsi na uroho wa madaraka wa CCM ni hatari sana!!
 
Maintenance cost ya ikulu zote mbili zitalemea walipa kodi sana. Huo nao ni ukweli tu.
Hahaha wananchi wenyewe ndo hawa wanashindana nani asifiwe zaidi kwa matumizi mabaya ya pesa ya serikali! Yaani kupanua wigo wa matumizi ya pesa ya serikali kwa kuanzisha miji mikuu miwili yenye kila kitu nayo ni LEGACY?
 
Taratibu zipi ndugu, nyie mnaotaka kufuata taratibu mnaweza kwenda kufungua hata leo maana CDM hawajaweka Katazo la uzinduzi, lakini ukweli umeshafahamika.
Ni hivi kama mradi ulikuwa ni wa CHADEMA basi kuzindua sio mbaya ila kama Chadema ilishirikiana na jamii basi hata mkurugenzi angejulishwa kwa barua kwani siasa ni vita?
Ingekuwa kila mfadhiri anazindua mradi wake mbona ingekuwa vurugu
 
Kuna watu wana roho za kishetani sana.
Mnagombea kuzindua mradi??
Mambo ya kingese sana haya kwanini lakini??
 
Mmmh, aisee...

Yalikuwa hivi kumbe?

Ubinafsi na uroho wa madaraka wa CCM ni hatari sana!!
Unadhani Mzaha.....Mpaka Hilo gari bovu arirejeshewa kwanguvu...Nakumbuka kwenye Mkutano wake Mmoja pale Kirumba ilibidi aingie gharama alilete na akawaeleza Wananchii,,ikawa huzuni kuu,hadhira ilifadhaika mno.CCM ni hatari mno.
 
Ni hivi kama mradi ulikuwa ni wa CHADEMA basi kuzindua sio mbaya ila kama Chadema ilishirikiana na jamii basi hata mkurugenzi angejulishwa kwa barua kwani siasa ni vita?
Ingekuwa kila mfadhiri anazindua mradi wake mbona ingekuwa vurugu
Alisusa aliposikia anakwenda kuchangamana na CHADEMA,hata barua hakuijibu....Lingne?
 
Ni hivi kama mradi ulikuwa ni wa CHADEMA basi kuzindua sio mbaya ila kama Chadema ilishirikiana na jamii basi hata mkurugenzi angejulishwa kwa barua kwani siasa ni vita?
Ingekuwa kila mfadhiri anazindua mradi wake mbona ingekuwa vurugu
Mradi wa CHADEMA??! Una maanisha nini hapo...? CCM nyie ni hamnazo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…