Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.

Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.

Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.

Kula chuma hicho:

View attachment 2631015
Siasa za ovyo kabisa. Mbwa inakataza Mbusi kula majani wakati hajayaotesha wala hayahitahi.
 
Back
Top Bottom