Nmb hongereni sana, naombeni mshughulikie idara ya mikopo kwenye matawi yenu. Maafisa mikopo wamezidi kuomba rushwa, hata mkopo wa laki tano anataka naye apewe chochote. Pia baadhi ya watumishi wenu kutaja salio la mteja tena baa akiwaeleza wanawake sio jambo jema kabisa. Mimi nilishuhudia hili na ikaniuma sana. Kusema mshahara wa mtu unaoingia benki baa sio maadili ya mtumishi wa benki hata akiwa amelewa hapswi kufanya hivyo.
Huyu dogo ni mlokole wa kutupwa. Alikuwa nyuma yangu mwaka mmoja chuo kikuunmb mtwara baraka mwasandube jamani kaka yule mpeni ufanyakazi boraaa
maana anajituma hadi raha
nmb mtwara baraka mwasandube jamani kaka yule mpeni ufanyakazi boraaa
maana anajituma hadi raha
Huyu dogo ni mlokole wa kutupwa. Alikuwa nyuma yangu mwaka mmoja chuo kikuu