Ahaa,hapo sawa.Ndio maana tunatakiwa kuwa makini sana na passwords zetu.Jamaa anaweza kuwa amekufuatilia muda mrefu akaisoma password, then akifanikiwa kuiba ATM CARD au simu ni kufanya muamala fasta. Na sio lazima awe mwizi anaweza kuwa hata mwanao aliyeasi au mume uliyemtishia kumuacha [emoji3]
Ukizifikiria izi 300 wanazokata kwy izi Bank unaweza ukatamani usiwe na Account kwy Bank yoyote.Hili swali litakuwa ni gumu!! Mimi sijui hata wanakataga ngapi nikitoa hela kwenye ATM,yaani mi ni kuweka na kutoa tu,sijui nakatwa ngapi! Nilidhani ntapata mwanga hapa ila bado giza tu!
Shukrani mkuu.
Naona hapa kajibu gharama ya ATM badala ya NMB mobile
Sio kweli ndugu, notification ni bure!nataka kujitoa,..Maana naskia hata zle sms uki-draw pesa atm,zinazokupa notification wanakata salio akaunt
Thanks mkuu...Umesaidia wengi.
Ya bure labda ile ya ku-toa pesa,...ila ya kujulishwa pesa imeingia mf. mishahara wana KA-TASio kweli ndugu, notification ni bure!
Tatizo zina matawi machache,,...mi ningejiunga naokuna benk za kiislam hua hazina wizi kama huo
Tunapgwa sana tu,...mfano,umetoa bank umekatwa,kwenda mitandao ya cm,ukitoa wanakata tena...hatariUkizifikiria izi 300 wanazokata kwy izi Bank unaweza ukatamani usiwe na Account kwy Bank yoyote. Huwa wana mchezo mala ukilupia umeme au maji au vitu vingine unakuta wamekata 300 izi. Zinauma Sana
Daaah.... eg. umetoa lak 2.1 wamekata hiyo,harafu ukaenda kwa wakala unapgwa 4000 tena,mpaka apo msimbaz umekwenda kwa miamala ya nmb-mobile na mpesa tu
Jamaa anaweza kuwa amekufuatilia muda mrefu akaisoma password, then akifanikiwa kuiba ATM CARD au simu ni kufanya muamala fasta. Na sio lazima awe mwizi anaweza kuwa hata mwanao aliyeasi au mume uliyemtishia kumuacha [emoji3]
Lengo langu kujua gharama za nmb mobile kuchek salio!
Mungu akubariki kwa hiloNauliza gharama za kuangalia salio ntawapa jibu soon
Ni kweli ila hawa jamaa ni wahuni,wanaweka Noti za 5000 tu hiyo yako inawezekana kama kukiwa na noti za 10000,Tambua kwamba ATM inatoa Noti 40 tu,Kama wakiweka noti za 5000 maana yake Max ni laki 2,so ili utoe mlio(1m) inabidi utoe mara 5 hivyo unalambwa 4,720/=Hii mpya mi najua kutoa milioni unatakiwa kutoa maratatu maana maximum kwa mkupuo ni lakini nne