Hao jamaa binafsi sina imani nao kabisa.
Kwenye account yangu nilikuwa na almost 30k, ila nilihitaji kudeposit amount nyingine then nifanye transfer kwenda another bank.
Kwavile transfer kati ya bank na bank kuna makato huwa wanakata, so nikaenda kuconfirm salio kwa mhudumu wao (nmb) before sijadeposit. Nikamuandikia namba fresh. Yule teller akaniandikia salio langu kwenye kikaratasi alafu akanipa huku ananiangalia jicho flan hivi la kuibia. Kuangalia, salio linasoma 13k.
Nikatoka pale mezani kwake, ikabidi nimuulize mdau mwingine kama teller anaweza hamisha salio.
Binafsi mpaka leo naamini kuna uhuni walinifanyia.