NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

duh pole mkuu....wana mbinu za kutuibia hawa si bure
 
tupa line
 
Sasa ww nae 400 ulikua unajua kabisa imebaki unauliza salio.

Ukiwa na milioni humo itakuwaje, wacha wakulambe maana unasumbua tu
 
Sasa ww nae 400 ulikua unajua kabisa imebaki unauliza salio .
Ukiwa na milioni humo itakuwaje, wacha wakulambe maana unasumbua tu
Hujanielewa,....sh 350 ilikuwa ni salio la vocha kwenye cm,nikaingia nmb-mobile kuchek akaunt yangu kuna kias gan.

Nimemaliza kuangalia akaunt,narejea kuangalia kavocha kamebak sh ngapi? nakuta ni 44.65 salio vocha.Ndio kuja apa kuomba msaada
 
Labda nirejee swali langu tena....Nataka kujua ukiwa na vocha salio,eg sh 500,ukaingia nmb-mobile akaunt,kwenye vocha wanakata sh ngapi kwa muamala mmoja wa kuchek balance bank?
 
Dah inawezekana walishaongeza maana sijui hata nakatwa ngapi, kama kunila washanila sana tu.
 
Muda wa maongezi kuibiwa/kupotea ni tatizo sana ukiwauliza utapewa majibu ya ajabu...
Nilichojifunza,...Mitandao ya simu,ukiingiza vocha bila kuunga kifurush,salio linapungua kila dakika....Wanaiba.Wanatufosi tuunge bando....Hatari sana.Kama mimi tu nimepgwa 300 je, tukipgwa wateja 1,000,000 jumla sh ngapi? dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…