NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Tuliopo karatu tunateseka kuchukua pesa zetu. NMB a tawi la karatu imezidiwa sana. Naomba nmb iweke tawi ndogo eneo la endabash ili kupunguza foleni kubwa kwenye tawi la karatu
 
Kwakua mnawateja wengi, basi jitahidini kuboresha huduma zenu, ila mi nawapenda sn nmb
 
Ni Vzr Mmerudisha Muda Wa "Salaried Workers Loans" Lakini tunaomba muongeze kutoka 40% hadi 50% cha makato, maana hali ya maisha ipo juu, miaka 5 kwa 40%bado chini sana
 
Kwa nini nmb ATM zenu hazitoi noti za sh.5000/= huu ni wizi,na kwa nn mtu akiacha 10,000 mshahara mwingine ukitoka ile kumi huikuti? Huu si wizi?
 
Hivi kwa nini lazima kitambulisho cha uchaguzi ndipo ama ufufue akaunti au ufungue? Kwa nini utambulisho wa mtendaji usitoshe? Hivi usumbufu huu singida ni kwa benk zote? Au nihamie crdb?
 
Hongereni sana NMB mmeonyesha njia na wengine waige hili ni jambo jema!hao wengine wanatuona kama makenge hasa unapopata tatizo,niliibiwa pesa kwenye account yangu BENKI YA POSTA nilipojaribu kufuatilia niliyokutananayo ni Mungu tu ndo anajua!
 
wazo langu kwenu NMB ni kwamba, Tunaomba zile mashine za kuhesabia ela nasisi wateja mtuunganshie digital count iwekwe kwenye kioo ili pindi mashine inapohesabu na mteja aweze kuona fedha zake maana kuna baadhi ya customer care wenu wanafanyaga hujuma unampa ela taslimu anakwambia bado elfu kumi au unapewa ela ukija kuhesabu pungufu Tafadhalini naomba mlifanyie kazi.
i 400556541263_1.jpg
 
Kuna kipindi hela sinapungua kidogodogo..mfano imepungua 10000. Alafu ukienda kuwauliza wanataka utoe bank _statement na kutoa bank statement ni sh 1000 ukiangalia huoni ilipotolewa ..mi hapa nakereka vbaya sana
 
Nimesikia crdb wamewazd kete.. Tender ya mishahara.. Poleni boreshen huduma.then mbna kad zenu hazitumii teknolgy ya visa....
 
Ni vizuri kutoa muda mrefu wa account.juzi naenda kucheki balance naambiwa akaunti yako imefungwa.heeeee Mara hii?
 
NMB Bunda mkoa wa Mara kuna cashier mmoja huwa anajitahidi sana. anafanya kaz haraka lakn pia anajar wateja muna naona anavaa name bage imeandikwa bogelabo.. jaman hongara lakn na managment ikufikirie kukylutoa hapo ulipo......
 
je mimi ambaye mshahara wangu unapitia NMB lakini mwajiri wangu hayupo tayari kunidhamini kwenye mkopo je naweza kupata mkopo na bank ikawa inakata kupitia akaunti yangu?Na kampuni ninayofanyia kazi haina mkataba na bank yoyote kuhusu mikopo.
 
Endelea kuichukia nmb lakini inaendelea kupiga bao na wateja wanaongezeka. Ona na hii hapa tunaendeleza km kawa.
 
Weken huduma ya viza mtapiga pesa hakuna haja yakitupangisha foleni bila sababu
 
Back
Top Bottom