Sio kweli kwamba risiti inatoka kiautomatiki, unaulizwa unataka risiti? NDIYO, HAPANA.Hiyo ni ada ya risiti au stetement, sijakuelewa vizuri, unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka!
hebu fafanua vizuri,hivi kuna huduma ya kuomba risiti kwenye ATM au ukitoa pesa risiti inatoka automatic na kama hutaki kuchukua kuna option ya kudeny?Ukiomba risiti kuna pesa unakatwa lakini ni ndogo sana tofauti na madai ya mleta mada! CRDB kwa mfano, wao wanakata Sh. 300/=.
Haitoki automatic! Ukisha-click kiwango unachotaka kutoa, utaulizwa ikiwa unahitaji risiti! Kwahiyo risiti itatoka endapo utajibu "ndiyo"! Lakini sio tu hadi utoe pesa, pia unaweza kuomba risiti bila kutoa pesa kama service utayochagua ni kuangalia balance! Hapa pia utaulizwa ikiwa unahitaji risiti au utaangalia balance kwenye screen pekee.hebu fafanua vizuri,hivi kuna huduma ya kuomba risiti kwenye ATM au ukitoa pesa risiti inatoka automatic na kama hutaki kuchukua kuna option ya kudeny?
Unaulizwa endapo utahitaji risiti na sio kwamba inatoka automatic.yap uko sahihi, huyu mdau ameleta chenga, risiti inatoka yenyewe na hakuna mahala pa kukataa risiti.
Wewe unazingua sasa, NMB risiti haitoki automatic hadi uombe na kuna charge za kupata risitiHiyo ni ada ya risiti au stetement, sijakuelewa vizuri, unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka!
Na imani yako ni sahihi kabisaMkuu, hebu fafanua kidogo hapo…. mimi pia ni mmoja wa wanaoamini ukiomba risiti kuna some extra charges.
Makato hayo umesoma wapi?Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB waangalie upya makato hayo. Labda kama hawa "encourage" huduma hiyo kutumiwa na wateja wengi.
Nilikuwa naomba kujua makato yakoje kwenye benki zingine kwa huduma kama hiyo wakuu.
Hakuna namna unaeza itumia Mastercard au visa card ndani ya benki nyingineUwongo!
Hawana MasterCard/Visa ambayo ungeweza kutoa PESA benki yoyote?
Mbona mnajivunia sana UJINGA!
Tpb wanatumia umoja , sijawai kutumia atm za umoja.Na kuna baadhi ya ATMs kama TPB ukiomba hata usipoomba inakupa kwa lazima
Yeye ndo mtoa burudani, kwamba ati una Mastercard ya nmb ndo uingie crdb bank ndani ukatoe pesa kutoka nmb? Umeona wapi hiyo?Mkuu usipokuwa makini humu kuna watu kazi yao siyo kuchangia ila ni kutengeneza burudani 😀 [emoji1787]
Makato hayo umesoma wapi?
Kwenye ATM slip inaandikwa kiasi ulichotoa, actual amount na available amount. Wapi umeona wameandika withdraw charge 10,000?
kwenye screen ya mashine, mara zote mashine huandika kiasi kilichokatwa kwenye huduma uliyoipata, lakini baadaye nilifanya hesabu kwa kuwa nilikuwa nimetoa fedha kama siku 3 zilizopita kabla, roundfigure nilikuwa naijua nikajiridhisha ni kweli walikuwa wamekata, labda ni monthly charge ndiyo ilikuwa imekatwa hapa bado sina uhakika lakini nilichokishuhudia kwenye screen ni 10,000Makato hayo umesoma wapi?
Kwenye ATM slip inaandikwa kiasi ulichotoa, actual amount na available amount. Wapi umeona wameandika withdraw charge 10,000?
bado unatumia haya mabenk ya mwendazake?Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB waangalie upya makato hayo. Labda kama hawa "encourage" huduma hiyo kutumiwa na wateja wengi.
Nilikuwa naomba kujua makato yakoje kwenye benki zingine kwa huduma kama hiyo wakuu.
KWA MUJIBU WA "NMB TARIFF GUIDE" YA MWAKA 2021.Nilichojifunza kwenye huu mkeka
- Kuna tuvipengele tudogodogo twingi usipokuwa makini unaliwa kichwa
- Mabenki washindani wa NMB watautumia kuwapiga kibuti
- Kuna mambo wateja hawaambiwi wanapofungua akaunti ila wanakutana na vibweka wakishakuwa wateja
Exctly, TPB ndio ipo ivyo Atms zaoNa kuna baadhi ya ATMs kama TPB ukiomba hata usipoomba inakupa kwa lazima
Hata dirishani, unamchajije mtu kwa kutoa hela yake? Kama makato yapo yalitakiwa kuwa ya kuhifadhi hela tu ingawa nayo hayana maana sababu hela hiyo wenye mabenki wanazalishia faida kwa mikopo. Sasa unamkataje mtu hela eti sababu anachukua hela yake??Usiamini kirahisi uzushi wa huyu jamaa, kwa wakala ndo makato makubwa ni kama kutolea pesa dirishani…. ATM haijawahi kufika huko.
Let alone tozo ya risiti.