Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sawa kabisa ubabaishaji mwingi bila kuwasikia NMB kauli yao tutadanganyana tu hapaKwa mjibu wa mleta mada ni kuwa Mama kila akienda benki anaambiwa arudi nyumbani watampigia simu.
Ni vigumu sana kuamini hili; miaka mitano yote mtu unaahidiwa kupigiwa simu; halafu wewe huchoki unaendelea tu na safari za kwenda Benki kupata jibu lile lile?
Hii mada imeanza kuonekana kuwa ni ya kibabaishaji.
Ungeweka unachokijua wewe kwa lugha nzuri tu, ingemnyamazisha moja kwa moja huyo mwenye "ujuaji mwingi" kama unavyosema.Wewe huna akili, i am done with you. Ujuaji mwingi, maneno machafu na huna unachokijua.
Kama kweli ni kesi ya pesa weka mtaji,pesa ikitoka utachukua percentage yako,siyo wwe unataka kuanza kuomba pesa ya uwakili mbele kutoka kwa mteja!!Case tamu sana hii pesa nje njee asee watu mna kaa na case zenye pesa na hamsemiii daah.
Dispatch ume sign!?Kwahiyo bank watakuja kukiri kwamba hawajairudisha pamoja na kuwa wamelipwa? Mi ninachojua nimesharudishiwa, nani atapinga?
Njia hiziJuzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa hivi hawajahifadhi hati ya huyu mteja kwamba akimaliza mkopo wamrudishie mali yake?
Ziadi ya miaka 4 wanamzungusha mama wa watu amejaribu hata kutafuta watu anaojuana nao huko NMB ila nao hawasaidii kitu hebu anayeweza kufikisha taarifa, afikishe.
NMB tawi la SENGEREMA kuna mtu anataka kumpiga huyo Mama nyumba yake. Sio sawa
Pia soma
Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano
Unaweza.kuta ni wanafunzi wa Law school wameleta hii maada kama test wamepewa huko chuonikwao!Kwa mjibu wa mleta mada ni kuwa Mama kila akienda benki anaambiwa arudi nyumbani watampigia simu.
Ni vigumu sana kuamini hili; miaka mitano yote mtu unaahidiwa kupigiwa simu; halafu wewe huchoki unaendelea tu na safari za kwenda Benki kupata jibu lile lile?
Hii mada imeanza kuonekana kuwa ni ya kibabaishaji.
Wewe ndio unatuchanganya, muulize maza kuwa akidai hati anajibiwa nini?Inauma sana natamani nipate shortcut ya kumsaidia huyu Mama
Kwahiyo bank watakuja kusema hawajanirudishia? Good, hicho ndicho ninachotaka ili niwashtaki vizuri..Dispatch ume sign!?
Sasa kwanini afanye udanganyifu wakati anajua haijapotea ? Yaani aingie gharama ya kufanya udanganyifu wakati anajua ilipo ?Hebu acheni ujinga, nenda karipoti kwamba hati imepotea (loss report), baada. Ya hapo fuata taratibu ili upewe nyingine.
Sababu njia za kistaarabu wamezikataaHujaeleza kwa nini huyo mama afanye unavyo shauri wewe.
Achana nae huyo hajui kitu, unafanyaje lost report wakati mkopo wake umesajiliwa kwenye hati yake, mwenye mamlaka ya kufanya lost report ni mtoa mkopo na si yeye!!Sasa kwanini afanye udanganyifu wakati anajua haijapotea ? Yaani aingie gharama ya kufanya udanganyifu wakati anajua ilipo ?
Ili suala aache mambo ya kuongea verbal aende kwenye tawi na kuuliza ni nini kinaendelea na kuuliza kwake kusiwe kwa maneno tu bali barua na copy abaki nazo (kama katika usumbufu wote huu angekuwa anaandika barua na maelezo anayo yangemsaidia sana katika kwenda ngazi za juu)
Ila nadhani bado jibu halijapatikana NMB wanasemaje ?
Mambo hawajaweka sawa for 5 yearsDuhhhh! Kwanini wagome sasa au kuna mambo hawajayaweka sawa???
Sio poa lo
Inawezekana sana.Unaweza.kuta ni wanafunzi wa Law school wameleta hii maada kama test wamepewa huko chuonikwao!
Nimefuta nilichotaka kukujibu mwanzo.Sababu njia za kistaarabu wamezikataa
Watajuaje kwamba ameomba mpya?Nimefuta nilichotaka kukujibu mwanzo.
Kwa hiyo huyu mama atapewa hati mpya, mbadala wa ile iliyopotea? Alienda polisi kuandikisha kupotelewa na hati?
Na kama Benki waliifanyia kazi yao hiyo hati ya mama, hawana njia ( ya kitapeli vilevile) ya kuhakikisha mama hapati hati mpya?
Haya mambo ya "kupotelewa" ni lazima yawekwe kwenye magazeti, kabla ya kuwasilisha maombi ya hati mpya.Watajuaje kwamba ameomba mpya?