No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Sasa mtu atakaaje ndani kama mwali jmni karne hii maisha yenyewe magumu sio kma zamn lbd ata mmevuna chakula kipo ndani saivi inabidi tyu wote tukatafte
Umejibana kwenye kaeneo kadogo sana. Sidhani hata mleta mada anakereka na mwanamke kutafuta. Wapo wanawake ni watafutaji lakini wamesimama katika zamu zao kama wake wema na mama bora wa familia.

Kama ni mwanaharakati uchwara hata awe mama wa nyumbani moto ni ule ule tu. Pulizi usijaribu kuudogosha mjadala huu kwa kutaka kuuondolea mawanda yake mapana ya kimalimwengu maana hata Ulaya na Marekani usomi na uanaharakati huu wa haki za kijinsia ndiyo umechangia kuisambaratisha taasisi ya ndoa na familia.
 
Mkuu na wew ni mwanaume?
 
Prof anajitambua sana. Wasiwasi wako tu. Akikatiza anga zangu mi naruka naye ohoo! 76 yrs old nini bana! Uzee mwisho Chalinze ati!

Prof. Pellaiah pulizi kamu zisi wei [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mambo si ndio haya sasa. Lazima nikutunze, nikulee, uumalizie uzee wako vizuri. Nikufute machungu yoteee😘😘😘😘
 

Hii ni hofu tu mushi, mwanamke ni mwanamke tuu.....
wanaume wenzangu mnakosa kujiamini kwa hawa dada zetu!!!!
Mwanaume ni baba na sauti yako niya mwisho ukisema umesema hakuna wakupinga,
tuache uwoga wakuwaogopa hawa dada zetu!!!
Ukimuogopa mwanamke hata uyo unaesema la 7 siku akiamua kukutingisha utatingishika tu....!!!
Hapa bwana mushi mimi sijakuabaliana ma wewe
 
Mambo si ndio haya sasa. Lazima nikutunze, nikulee, uumalizie uzee wako vizuri. Nikufute machungu yoteee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Glenn soma hiyooo....[emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734]

Karibu sana Prof. Tena hata tuhela twa mafao bado sijatumaliza. Njoo tutumalizie pamoja [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mawaidha mazuri sana kwake.
Ila huyu mjukuu wako ni rangi rangi sana kama upinde wa mvua.
 
Tatizo ukiweka misimamo kwa hao nshomile utakuwa unaoa Kila siku. Ndoa haiwezi kuvumilika.
 
Gwajima cha mtoto. Tumpe kile chuma cha Mjerumani kimbaumbau mkangafu kutoka Green City tuone kama atatoboa [emoji16][emoji16][emoji16]
Gwajima siyo cha Mtoto,kumbuka alimuamrisha IGP Siro amuweke ndani Shemeji yake Mchungaji Gwajima, sema Siro alitumia busara sana kumpuuza Dorothy Gwajima na wala hakumkamata Gwaji boy!![emoji3][emoji3]
 
Haya mambo hayana formula kuna jirani yangu hapa ni mwaka wa 7 huu kaoa mwanamke ana Phd yeye aliishia la 4 na sio kwamba ni very very wealth na huyu mama ni very respectful to her husband..
Kwa uzoefu wangu ninayoyaona kwenye jamii wanawake wasomi waliopo 45+ hivi wana nafuhu hawa kipindi wanasoma hizi itikadi za feminism zilikua bado hazijaingia bongo ila hawa wa 20-30+ ni kisanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…