No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Kua emotionally intelligent nikua na tabia au sifa zipi mkuu.
 
Na kitu kingine basi moto hauwashi Na hapeleki moto pia mwanamke hauwezi kuwa na kauli ya mamlaka juu yake kama huwez mmiliki na kumpelekea moto vizur sasa vyote huna unasubiria nn kama sio kufa kwa dharau
 
Ni kweli kabisa. Ila ukioa wanawake waliosoma na carrier ladies waliolelewa kwenye misingi dhatiti ya dini na wanajielewa pia hujapotea ndugu.
Dini yasaidia ndoa kuwa ikawa chief
 
Bado hujakutana na wanawake vichwa maji so tulia tu mkuu
 
Ujajua wewe, watu wanacool down kuepusha mengi. Ukileta ujuaji wako huo mwezi mmoja baada ya honeymoon ndoa inavunjika. Hujawajua hawa watu.
 
Ukishasema misimamo ya ki uanaume, halafu ukasema wanaume wa siku hizi wanataka wanawake wa kuwakandamiza. Ni wazi hujui unachokiongea. Labda Kama humjui mwanaume mwenye misimamo
 
Kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚ oa mtu anaekupenda and mkapendana mambo ya madigris,sijui la saba, sijui ni uoga huo

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ ndo maana mimi huwa najisemea ikitokea meolewa basi atleast nioleww na mtu alienizidi ila sio niliemzidi mimi maana ukimzidi kitu tu anakua hajiamini na mwisho kabisa ni maugomvi tu 😁😁😁😁

By the way sio mbaya kwa mawazo ya mtoa mada huyu ni wale type wanapenda kunyenyekewa hata kwa mambo yasio ya msingi.
 
Unataka kumwaminisha nani kuwa wewe mbabe mbele ya mke wako huku hatukufaham??
 
Kwahio mkuu u wanna say wasomi ndo wenye ego,dharau na maneno mengi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ yaan mtu akiwa vidigrii tu nasi ndo sifa za ufeminist anakua nazo it can't be,

Hii theory yako ina apply to both side o to other language any kind of a woman can have those character bila kuangalia levo ya elimu yake.

So kazi n kwako kuchagua yupi ni wise kulingana na ur criteria.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…