No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Kwenda huko...utazidi kuzeekea hapo ngoja nibonge na dogo lako
Makiwendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwendaaaa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora nizeeke kuliko furushi wewe.

Halafu Makiwendo ni dada yangu sio mdogo wangu. Kuwa na adabu.
Miss Renee yuko wapi siku hizi?
 
Kwendaaaa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora nizeeke kuliko furushi wewe.

Halafu Makiwendo ni dada yangu sio mdogo wangu. Kuwa na adabu.
Miss Renee yuko wapi siku hizi?
Huyo Renee ameingiaje hapa?
Ndio maana Makiwendo ana akili kuliko wewe.
Najuta kukukaribisha kwangu umekoroma usiku kucha kama Fiat la magogo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo Renee ameingiaje hapa?
Ndio maana Makiwendo ana akili kuliko wewe.
Najuta kukukaribisha kwangu umekoroma usiku kucha kama Fiat la magogo🤣🤣🤣🤣🤣
Jibu kwanza swali, yuko wapi? Au ulishabwagwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Una kwako kwanzaa!! Mtoto mdogo bado unanyang'anyana remote na wadogo zako.
 
Wabheja sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…