Tatizo la ndoa nyingi kuvunjika ni ujuaji, Ulimbukeni, kutotaka kujifunza kutoka kwa mwenzio, na kutokubali kushindwa kati ya Wana ndoa. Hasa jinsia ya KE wamekithiri kwa sifa hizo nilizosema.
Pia vijana wengi wanaendekeza usasa wameacha Mila na Miiko ya jamii wanayotoka. Watu wanakutana tu shule, vyuoni, disko, na baani wanaoana kwa sababu ya kuzidiwa na Raha ya papuchi. Zamani mambo ya kuvunjika kwa ndoa ilikuwa very rare.
Alafu vijana wengi hawajui km ktk ndoa elimu haina nafasi. Mwanaume haoi form 6 yako, diploma, au degree yako, mwanaume wa kweli anaoa mke mwenye sifa nje ya Elimu Dunia. Elimu Dunia inakuwa added advantage tu. Ukifanya hivyo unalamba dume, utafurahia ndoa na utakuja kunishukuru.
Pia vijana acheni mambo ya kipuuzi eti siwezi kuoa "kula kulala/ goalkeeper", hii akili inaua ndoa nyingi. Unakuta kijana anatafuta mtumishi mwenzie eti watasaidiana maisha. Guys, usitegemee kusaidiana maisha na mwanamke. Wewe km kichwa Cha nyumba unatakiwa kupigana kuhakikisha familia yako inakula, kutibiwa, na kulala pazuri.
Kuna vitu vingi vya kuongea ila basi tu. Ila vijana badilisheni mindset zenu juu ya kuoa kwa kuangalia elimu. Kwani hizo elimu za wake zenu huwasaidia kukata viuno kitandani!!!