Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Suicide by CCM
Ishashinda anza kunywa boss.... coolant ya gari inafaa sana mkuu...

Viva Magu 2020 to 2030
Labda uchaguzi wa kijijini kwenu maana hata wa kijiji cha chato watamchagua Lisu
 
Binafsi nataka amalizie kuijenga nchi kwa mibarabara na mijengo ya hospitali na ma stand na ma airport na ma flyovers na ma ring roads....na madege

Viva Magu 2020 to 2030
Hatuna cha kukusaidia zaidi ya kukuombea , hivi ni mtanzania yupi anaweza kumpigia kura Magufuli , na kwa sababu ipi ?
 
CCM haina haja ya kuona aibu , kushindwa si jambo geni , nchini Kenya KANU ilishang'olewa na kutokomea kusikofahamika na wala hakuna aliyelaumiwa
 
Mwizi wa kura anatumia majeshi haya haya yanayolipwa kwa kodi za wananchi wote?Hivi,wizi wa kura ni tendo halali hapa nchini?Kwa nini Watanzania wakubali kura kuibwa na ukawaita ni waoga wasioweza kulinda Haki yao ya kupata viongozi?Unaposema ni waoga unarejea misingi ipi?Wakikataa kuibiwa kuna mtu atawalazimisha kukubali wizi?
 
 

Attachments

  • 01908FD4-668D-440F-8229-A79780929446.jpeg
    21.1 KB · Views: 1
Kumbukeni kuangushea chama si urais tu, kunaa ubunge pia.

Lissu bila wabunge wa kutosha atakuwa a paper tiger.

Kila mtu anaongelea Lissu, sisikii wabunge.
 
Mbona wao CCM ukiwasikiliza wanajigamba sana?.Nini kinawapa matumaini hayo?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
ccm haiangushwi mwaka huu.

itaangushwa kati ya 2025,2030 au 2035


ispotokea i will loose faith in all mankind na nitajifunga jiwe kubwa shingoni kisha nitajitupa baharini
 
Mama mnafiki huyu, kaambukizwa na JIWE hakuwa hivyo.
 
Nothing lasts forever
 
Maendeleo yana vyama
 
Siwezi kupiga kura yangu na kurudi nyumbani kisha MAHARAMIA kama wale waliopora fomu za Wagombea Ubunge na Udiwani waje kufanya yao. Nitapiga kura na KUILINDA hadi mshindi halali atakapotangazwa pale pale kwenye kituo cha kupigia kura. Sawa sawa rafiki? CCM HOYE!
 
Iangushwe na na ni,Lissu huyu anayetaka kuigawanya Tanzania kwenye majimbo kwa maslahi ya mabeberu na anayetaka kuweka madini yetu poni,te,te,te,te,te,te,...........................
Tunataka mfumo wa shirikisho yaani majimboism kwani wananchi hawatendewi haki.

Kodi zao mtu mmoja anaamua kwenda kujengea kiwanja chake cha ndege kijijini kwake halafu mkihoji mnaletewa wasiojulikana. Shirikisho ndio itamaliza hii dhuluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…