Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Hahahahaaaa utalindia silaha gani mkuu?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
CCM kwa miaka 5 imetengeneza maadui wengi badala ya marafiki!!

Wanakwenda kuangushwa ni dhahili bin shahili.
Ukimya wa Kikwete kwa kampeni hizi una maana kubwa sana
 
CCM ikishinda mm nakunywa sumu
Tayari NEC wametupiga wapiga kura 29 milioni wanatokea wapi? Au ndio hizo zinazochapishwa na jamana! Ndugu tujiandae kuingia road anza kupasha maana safari itaanza tarehe 30
 
Kwani hizo kata na ubunge ndo kura za urais???
 
Propaganda za Mnyika zapanguliwa na Tume ya Uchaguzi, endeleeni kula hayo matango pori. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha JPM awanyooshe mtakoma mwaka huu. ''Mlikolalia sisi ndio tumeamkia.''
 
Natunza hii tweet, Kuna mwenzako amesema atakuwa tayari kugeuzwa kinyume na maumbile.
Kwa taarifa yenu CCM inashinda .
Ya kwangu naomba uichukulie kama chai (chachandu) tu ya Jamiiforums. Usininukuu mkuu.
 
Propaganda za Mnyika zapanguliwa na Tume ya Uchaguzi, endeleeni kula hayo matango pori. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha JPM awanyooshe mtakoma mwaka huu. ''Mlikolalia sisi ndio tumeamkia.''
Hapana. Robert Amsterdam anafuatilia kwa makini suala la Jamana kuchapisha karatasi za kura. NEC inajichetua tu, ukweli utawekwa wazi ndani ya siku 7.
 
Unataka malaika waje kulinda kura? Kama siyo raia wa Tanzania, unataka watu gani tena waje?
 
Kuwa na matamanio ni kitu kizuri, lakini kufikia ndoto na matamanio lazima kufanya kazi ya ziada, sio kwa kudhani dhani tuu.
Mpaka hivi sasa majimbo kama Rombo, Vunjo na Hai yameondoka upinzani na hakuna suala la kuibiwa kura kama wengi wanavyotaka kuwaaminisha Watanzania.

Hizi habari zinauma kwa wapenda mabadiliko lakini ni mwanzo mzuri sana wa upinzani hasa baada ya kupoteza ngome.

Upinzani wa kweli ndio unakuja makanjanja wanaondoka tutapata uongozi wa kweli upinzani.

NA TUTAPATA TRUE ALTERNATIVE GOVERNMENT 2025
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…