Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

Naona siku hizi mmeachana na biashara ya Lupia mmebuni nyingine

Anyway wale wanaouza na kununua pesa za zamani maeneo ya kariakoo hizo noti wanazo kibao nenda ukanunue
 
Hakunaga Noti ya 500 yenye Picha ya Nyerere kwa Ndani.

Toleo la Noti hizo za 500 zilikua na Picha ya Twiga!

Hiyo Noti ilowekwa kwenye huu Uzi imefanyiwa Editing..!
 
M
Morogoro bhana ishakuwa ya matapeli sana😀😀jamaa aliyeleta uzi atakuwa yupo kwenye chain ya scammers au anatumika bila kujua,
 
Kwa upande wangu hakuna utapeli,nimejiridhisha kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…