Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
💯Ushirikina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Ushirikina
Naona siku hizi mmeachana na biashara ya Lupia mmebuni nyingineWakuu,Inahitajika noti ya miatano ya zamani kama inavyoonekana kwenye picha hizi[emoji116]
Contact:0613063581
Location: Morogoro.
Offer: 120,000/=
Note:Mimi dalali tu,boss amesema hata ikiwa zaidi ya moja ananunua.View attachment 2624969View attachment 2624971
Sio yenyewe si unaona haifanani na aliyoiotuma hapo angalia tenazipo za elfu sita na biashara ifanyike hapa hapa coz Pm yangu nimefunga
View attachment 2624980
🤣👋Naona siku hizi mmeachana na biashara ya Lupia mmebuni nyingine
Anyway wale wanaouza na kununua pesa za zamani maeneo ya kariakoo hizo noti wanazo kibao nenda ukanunue
🤷♀️
💯Huu nao unaweza kuwa ni ulozi huu [emoji848]
#Kataa ShirkiInaenda kutumika kwa kazi gani?
Unataka kutapeli watu kijana ,upatu aka pyramid scheme ni kosa la jinaiWakuu,Inahitajika noti ya miatano ya zamani kama inavyoonekana kwenye picha hizi👇
Contact:0613063581
Location: Morogoro.
Offer: 120,000/=
Note:Mimi dalali tu,boss amesema hata ikiwa zaidi ya moja ananunua.View attachment 2624969View attachment 2624971
Morogoro bhana ishakuwa ya matapeli sana😀😀jamaa aliyeleta uzi atakuwa yupo kwenye chain ya scammers au anatumika bila kujua,Ni weezy na utapeli tu ,haujawai kusikia jinsi watu wanavyotapeliwa kwa kutafuta hela za mjerumani ,mercury nyekundu na vijipesa kama hivyo vya TZ? Na hii ni moja ya style ya UTAPELI inaanza mtu anahitaji mia 5 ya noti(Kwa laki na 20) ,kisha anatokeza TAPELI mwenzake wanasema kuna mtu anazo yupo Morogoro anauza kwa elfu 50(Hapa unaona unapata cha juu elfu 70) kumbe huyo wa Moro ni Tapeli mwenzake 😀 😀 then unaingizwa mtu kati unapukutishwa mchana kweupe.
Boss ukienda FB utawadaka wengi,jamii forum ni ya great thinkers sio rahisi kuwapataWakuu,Inahitajika noti ya miatano ya zamani kama inavyoonekana kwenye picha hizi👇
Contact:0613063581
Location: Morogoro.
Offer: 120,000/=
Note:Mimi dalali tu,boss amesema hata ikiwa zaidi ya moja ananunua.View attachment 2624969View attachment 2624971
Nimeweka namba ya simu kwenye post yangu.zipo za elfu sita na biashara ifanyike hapa hapa coz Pm yangu nimefunga
View attachment 2624980
💯Hakunaga Noti ya 500 yenye Picha ya Nyerere kwa Ndani.
Toleo la Noti hizo za 500 zilikua na Picha ya Twiga!
Hiyo Noti ilowekwa kwenye huu Uzi imefanyiwa Editing..!
Kwa upande wangu hakuna utapeli,nimejiridhisha kabla.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ogopa matapeli.... tatizo ni ujinga wa wabongo wenyewe ndio tatizo
Mimi niliwahi shuhudia mtu analipa 200k ukienda kupiga mluzi makaburini
Nakumbuka tulikua tunacheza Mpira kwenye uwanja wa kanisa la kikatoliki akaja mbaba mmoja smart akamtaka kijana mmoja ambae anaweza kufanya hivyo kwenye makaburi ya kanisa
Matapeli nao wamo ukikaa kizembe umeishaaa