Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

Kuwa serious kesho nianze safari kutoka Bukoba.


Nnazo noti 16 za Nyerere na 7 za Twiga
Zinahitajika zenye nyerere kwa ndani kama picha invyoonesha kwenye post,unaweza nicheki kwenye namba yangu kwa maelezo zaidi.
 
Hamna utapeli wowote ni mawazo yako negativu tu.
 
Hiyo s
Unataka kutapeli watu kijana ,upatu aka pyramid scheme ni kosa la jinai
io pyramid scheme japo umepatia kuitaja kma aina ya utapeli kwakua haina ngazi nyingi ambazo zinaweza kumfanya producer apate faida kubwa naona hizi issue zimekaa kiimani zaidi
 
Mnatuona machambuche kwer wewe noti imekua adimu kiasi hiki alafu unasema una offer ya 120K ongeza mzigo Kisha nikwambie tukutane wapi na sio kukufata maana hiyo mnaitumia kwenye mmbo yenu sio mazuri tukutane police ndipo makabidhiano yote yafanyike
 
Ninayo Mkuu ila nipo Moshi huku.......

Sasa fanya hivi kwenye hiyo 120k toa hapo 40k kwa ajili ya usafiri wako unifate....., ukifika stendi unanikabizi changu nakupa chako halafu hamna kujuana......, Ishu ya kulala, kula, pamoja na usafiri wa kurudi zifanye kama running cost hivyo utajua mwenyewe utakavyo generate your profit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…