Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

Hakunaga Noti ya 500 yenye Picha ya Nyerere kwa Ndani.

Toleo la Noti hizo za 500 zilikua na Picha ya Twiga!

Hiyo Noti ilowekwa kwenye huu Uzi imefanyiwa Editing..!
Zipo mkuu,nadhani itakuwa walitoa mwanzoni wakasitisha kama ilivyo kwa jero ya silver/sarafu.
 
Unayo moja tu?
 
Tuma ya note moja tu 120,000/= nakuja nazo 16.
Hapo sasa naona unataka kunitapeli, anyway kama kweli unazo zenyewe kabisa,mimi kama dalali naweza ongea na boss tuone namna gani biashara ifanyike.
 
Kuna wajinga watatandikwa hapa.
Mbona uko negative sana,siwezi post JF kitu ambacho sjakihakiki,otherwise mwenye kudai ana noti awe ndo tapeli au boss wangu awe ndo anatapeliwa na waliomtuma,niko makini sana mkuu.
 
UPDATES:
Wakuu,siwezi post JF kitu ambacho sijakihakiki, otherwise mwenye kudai ana noti awe ndo tapeli au boss wangu awe ndo anatapeliwa na waliomtuma, mimi niko makini sana.

Kuhusu wale wanaodai mambo ya kishirikina,Iko hivi kwenye mauziano hakutakuwepo na sharti tata ,mfano wa sharti tata ni kama bei kuwa kiasi fulan bila kuongezeka wala kupungua na jingine ni kama malipo kuwa lazima yawe cash kwa cash.
 
Boss ukienda FB utawadaka wengi,jamii forum ni ya great thinkers sio rahisi kuwapata
Mkuu,utakuwa mzee wa ma_conspiracy theory kama member anayejiita mathanzua.
 
Ninayo moja na nipo moro ila wadau wmeshanitisha aseeee
Mkuu hakuna utapeli wala ushirikina,rudi kwenye post yangu nimeeleza.Kama unayo nicheki kwenye namba yangu au tupia picha hapa kwanza tuone kama ni yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…