Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

Nimechelewa kuona tangazo πŸ™„
Nimekapeleka bank asubuhi. Tena vilikuwepo viwili
 
Ninazo 8.
Umesema wewe ni dalali, kwenye hiyo 120 wewe yako ni ngapi tujue kabisa?
Kwanza weka picha hapa tuone kama ni zenyewe kabisa,isijekuwa tunasumbuana tu. Au unaweza nitumia kwenye namba yangu (whatsapp) ipo juu kwenye post.
 
Kwanza weka picha hapa tuone kama ni zenyewe kabisa,isijekuwa tunasumbuana tu. Au unaweza nitumia kwenye namba yangu (whatsapp) ipo juu kwenye post.
Mkuu ninazo hizo hizo unazozihitaji. Niko mbali kidogo na nilikozihifadhi ila nitajitahidi kesho nikutumie picha
 
Mkuu ninazo hizo hizo unazozihitaji. Niko mbali kidogo na nilikozihifadhi ila nitajitahidi kesho nikutumie picha
Ipige picha ukiwa umeininginiza kama inavyoonekana kwenye post yangu,piga pande zote mbili.

Ninazo zenye thamani ya laki 1(noti 200). Unatumaje hiyo hela?
 
Pongezi kwake atakae jitokeza mwingine mwelekeze jina ilo apo isipokua masharti ya makabidhiano ni police
Mkuu naona hujanileewaa! Mimi ndo mnunuaji nimetoa offer ya laki na ishirini,kama unazo karibu tufanye biashara,namba yangu ipo juu kwenye tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…