Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Oyaaa ukianza na zile kubwa lazima uchanganyikiwe kila siku wanatoa updates mpyaYeah, huwezi kuanza na software kubwa, hapo ukiwa na experience ukifkia juu ni kuteleza tuuu. Kukubwa kaza buti π―π―π―
Mm nina idea kidog na fl studio lakin waapi naishia kutengeneza beats za kunisupport tu nikiwa na stress π€£π€£π€£Oyaaa ukianza na zile kubwa lazima uchanganyikiwe kila siku wanatoa updates mpya
Tena saivi nina muda sijui kama ntakumbukaMm nina idea kidog na fl studio lakin waapi naishia kutengeneza beats za kunisupport tu nikiwa na stress π€£π€£π€£
Aiseeee sema na kwenyewe kuna materminology ya kutoshaaaaa aiseee sema mdogo mdogoMm nina idea kidog na fl studio lakin waapi naishia kutengeneza beats za kunisupport tu nikiwa na stress π€£π€£π€£
Siku ukitengeneza hata 1 nitumie mkuuAiseeee sema na kwenyewe kuna materminology ya kutoshaaaaa aiseee sema mdogo mdogo
Kwani fl studio ei inalipiwa au ulichukua cracked versionSiku ukitengeneza hata 1 nitumie mkuu
Wala usijali bro ngoja nitengenezeSiku ukitengeneza hata 1 nitumie mkuu
No, nilichukua ile ukifunga haisave projectKwani fl studio ei inalipiwa au ulichukua cracked version
Uliibeba kwa mtu?No, nilichukua ile ukifunga haisave project
NilidownloadUliibeba kwa mtu?
Me mwenyewe nilidownload nikaona haijainstall plugins halafu kipindi kile nilikuwa kapuku nikafutaNilidownload
Plugins zilikuwepo chache kama 25 hiviMe mwenyewe nilidownload nikaona haijainstall plugins halafu kipindi kile nilikuwa kapuku nikafuta
Napenda sana emotional beats na songs kama hiziXiao qui shui check hii ngoma
Anhaaa duhh ngoja me nianze na hii cakewalk kuna jamaaa nilimuona anatumia mic ya earphones kurecord na ngoma zinatoka kaliPlugins zilikuwepo chache kama 25 hivi
Sawa njoo tuongee vizuriNgoja niongee vizuri na Ua la waridi π
Na wwπ€£ sio mm nijulie wapi sasa, huo wimbo wa August Alsina X Nick Minaj unaitwa 'No Love'Umeitengeneza wewe? Na huyo aliyekuwa anaimba ni nani?
Hongera
MmhSawa njoo tuongee vizuri
Ila beat hata kama sio zuri ukiingizia saut inakuwa π―Anhaaa duhh ngoja me nianze na hii cakewalk kuna jamaaa nilimuona anatumia mic ya earphones kurecord na ngoma zinatoka kali