Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

ni muhimu kuwa wastahimilivu na wenye subra maelekezo na maagizo ya Rais kuhusu hilo πŸ’

La muhimu mdhamini wetu mkuu wa usalama wetu atupe maelezo yaliyonyooka haswa!
 
Kwani ungependa niandike utakavyo wewe ndugu?

Hudhani kuwa ninao uhuru wa kuandika nitakavyo?

Kwa mawazo yako mjuzi ni wewe tu?

Kwamba kumbe una hati miliki ya kipi?

Ama kweli tutamlaumu sana dobi!
Ukilizwa ni kilimo Gani kilitunika kupima ujinga utajua ni propaganda TU. Mfano mtu hajasoma secondary unamuukiza liebigisi condensa nini akishindwa unasema ni mjinga.

Anyway
 
Kwani ungependa niandike utakavyo wewe ndugu?

Hudhani kuwa ninao uhuru wa kuandika nitakavyo?

Kwa mawazo yako mjuzi ni wewe tu?

Kwamba kumbe una hati miliki ya kipi?

Ama kweli tutamlaumu sana dobi!
Kuandika mawazo yako public haina maana wanaoona hayapo sawa wasiyapinge
 
Msingi wa mada ni kuwa panapo jambo kila mtu anaweza kusema lake kama dondoo zinavyosomeka.

Haipo kesi hapo ila tuishie hapo bila maelezo yote kunyooshwa?

Isingekuwa haki kuwa na uchunguzi huru Ili kama ni mbwai na iwe mbwai?
 
Ukilizwa ni kilimo Gani kilitunika kupima ujinga utajua ni propaganda TU. Mfano mtu hajasoma secondary unamuukiza liebigisi condensa nini akishindwa unasema ni mjinga.

Anyway

Kwa hakika mtu yeyote akianza kujibu kuhusu "liebigisi condensa" atakuwa ni zezeta kiazi mbatata kweli kweli.

Kumbuka maswali kwa watahiniwa ni shuruti kuwa sahihi kabisa kwa kuanzia.

Zingatia majukumu ya watahini wa nje kwenye elimu ya juu.
 
Tusubiri uchunguzi alioagiza Mhe. Rais na CI. Tumwache mzee Kibao apumzike. Maana kila mtu anajidai anajua ukweli. πŸ™πŸ™πŸ™.

Hapa kwenye kuwaacha wanaowatanguliza kupumzika ndipo tunapopigiwa.

Wenyewe wakisema: "nalo litapita."

Ilikuwa muhimu deadline ya huu uchunguzi ikajulikana.

Yote ya namna hii hayakubaliki.
 
Msingi wa mada ni kuwa panapo jambo kila mtu anaweza kusema lake kama dondoo zinavyosomeka.

Haipo kesi hapo ila tuishie hapo bila maelezo yote kunyooshwa?

Isingekuwa haki kuwa na uchunguzi huru Ili kama ni mbwai na iwe mbwai?
1. Tukio baya limetokea. 2. Tofauti za uwasilishaji wa taarifa haziondoi tatizo. 3. Ndiyo maana hata hao waliotoa taarifa za kada mwenzao wanataka uchunguzi wa kina ufanyike. Hivi ndivyo ninavyoona mimi.
 
Tuko wote.

Ndiyo maana uchunguzi huru ilikuwa muafaka zaidi.
 
Hapa kwenye kuwaacha wanaowatanguliza kupumzika ndipo tunapopigiwa.

Wenyewe wakisema: "nalo litapita."

Ilikuwa muhimu deadline ya huu uchunguzi ikajulikana.

Yote ya namna hii hayakubaliki.
Usijali uzuri wa jinai haina ukomo, saa yoyote ushahidi usio achaa shaka ukipatikana watu wanapandishwa kizimbani!!
 
Wengine hatukuwapo ndiyo maana tunanukuu na kuuliza which is which?

Kwa hIyo yako hii ndiyo ichukuliwe ni uthibitisho?
Ata hao uliowanukuu hawakuwepo eneo la tukio.wote wamepata taarifa kutoka kwenye vyanzo tofauti tofauti.Kinachohitajika ni mamlaka hysika zitimize wajibu wao wakuwakama wahusika sio wewe kutukutea mambo ya nukuu ambazo hazina maana kwa sasa.
 
Ndivyo maana tunaongea uchunguzi huru.

Ungewaambia wao wasiseme Ili kina sisi tusiwanukuu.
 
Unataka kusema nini? Kwamba hakukuwa na utekaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…