Mmh ina maana huyu mheshimiwa hanaga kauli nzuri?
 
Ktk serikali yangu kiongozi akiharibu karatu sintomuhamishia tabora, atakaratukia hapahapa karatu. Sasa tunayaona, Chezea magu ww..
 
''Kama mnafurahi kutangazwa hadharani mnapoteuliwa, kwa nini mchukie mnapotumbuliwa hadharani''

''kwenye serikali yangu ukimcheleweshea mwanafunzi mkopo huna kazi''
 
Daah,we mleta Uzi sijui hata umewaza nini!!! Asante sana. Hii ni post ya siku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…