Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes like this one "... On behalf of myself..."
"Ukisimamishwa na traffic police mpatie eflu tano na yeye akang'arishe viatu vyake"Ambao hawajaleta michango yao na wailete sasa.
Huku akiwa amekunja sura.
kama Rais wangu wa A.town Mh.Lema yuko ndani kwa ajiri ya watanzania wanyonge sasa nini nimejitoa muhanga kuitetea nchi yangu siwezi kuona nchi yangu inateseka kwa ajiri ya mtu mmoja tena mwenye a elimu ya kuunga waje hapa Atow kijenge mwanama waulizie tu swissme ni nani na nitawaeleza nao.Taratibu ndugu yangu, siku hizi wanatumia MAWE na VISULPHATE.
Hii nayo ni ya kweli, ''mkitaka lami kwenda kijini kwenu jipangeni njiani kila mmoja afanye ,yake' mara tatu lami itakuwa tayari"
Acha shobo alizungumza mzee makamba..Kama kikwete aliwabatiza kwa maji mimi ntawabatiza kwa moto (mafisadi)
mimi sikuahidi tetemeko.Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.
Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.
Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.
Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.
[emoji860][emoji860]Mimi ni raisi wa maskini wanaoshi kama malaika wataishi kama mashetani[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860]serikali yangu haitawapa chakula Kila mtu atabeba msaba wake njaa haijaletwa na serikali[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860] hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Nasisi hatujengi.[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860] hakuna kufanya za siasa mpaka 2020 siasa huzuia maendeleo[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860] siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu. Nakushangaa sheni kuwaingiza wapinzani[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860]sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais , katiba sio kipaumbele changu kwa sasa nainyoosha nchi kwanza[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860]police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi ng'oa tairi uzeni[emoji779]️[emoji779]️
[emoji860][emoji860]watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure[emoji779]️[emoji779]️
Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea . Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
' ...Huwa nafurahi zaid nikitumbua Mtu kuliko kuteua'.
Siku ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Bakhresaa akichimba Biti kwa Meneja wa Tanesco apeleke Umeme kwa haraka Kiwandani
'Watu wanashangaa tunavunja Mikataba ya Wawekezaji nini Mikataba zinavunjika ndoa'
' Gari litakalopita kwny Mabarabara ya Mwendokasi Askari akilikamata akongorowe tairi akauze akikuuliza Mwambie ulileta bila ya tairi'
Huyu Raia ni kweli anahutubia toka Moyoni
Hii kauli ilitolewa na waziri wa ujenzi na sio rais wa TZAsiye na hela apige mbizi