Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubora wa ndege sio kukata mawingu! Bali ni pamoja na kutua vizuri uwanjani bila kuita coaster bus ya shutting down!Kuna mtu alisema hizi ndege ni mtumba, nipo tayari kumlipia tiketi akae siti ya mbele aone zinavyokata mawingu.!
Yes like this one "... On behalf of myself..."Hata nukuu alizoongea kiingereza tunaruhusiwa kuweka?
Hiyo avatar yako inatisha!
Mimi ndivyo nilivyo handisamu lakini wewe mkuu umelibeba hilo jitu, looo!hahaa!kuliko yako mkuu?nikiiona yako huwa najikuta nimekenua meno yangu makubwa mithili ya huyo in ur avatar.
Tumetengeneza barabara mtu anatoka mtwara asubuh na bajaji jioni yuko bukoba
Hohoo!anataka kuandika kiingereza cha bwana mkubwa?kilichokosa sarufi safi?halafu waungwana wakosoe!hajipendi?wale wazee wa miwani myeusi watambana na koleo kende mpaka aimbe wimbo ule wa irabu 5 kwa sauti kuu.Zote hapa tunaweka kumbukumbu sawa hata kwa watakaoukuwepo watakuja kumjua alikuwa mtu wa aina gani.