Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Nilijua masikio yangu mabovu kumbe ni kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiemba dukani dai risiti
Ile sijui akili ya wapikwa kwel noma sana
Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa.
Tukumbusheni na ile ya kumpongeza TrumpOn behalf of my self and the people of Tanzania, our deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro!!!
Kibongo bongo tunaelewana,we hushangai comments zaidi ya 160Hizo ulizoweka sio quotes....unless uniambie hujui maana ya quotes
Uongo maneno yakokwenye ahadi zangu sikuhaidi tetemeko"
Quotes ni nini?Hizo ulizoweka sio quotes....unless uniambie hujui maana ya quotes
Weka mkuuHata nukuu alizoongea kiingereza tunaruhusiwa kuweka?
Karopoka yeye sio msemaji wa serikaliMwakyembe kasema mahakama imekosa kesi
Zote hapa tunaweka kumbukumbu sawa hata kwa watakaoukuwepo watakuja kumjua alikuwa mtu wa aina gani.Hata nukuu alizoongea kiingereza tunaruhusiwa kuweka?
Taratibu ndugu yangu, siku hizi wanatumia MAWE na VISULPHATE.KILA KIJIJI KITAPEWA MILLION 50 SIJUI ZA MABOX AU.
SWISSME
Kuwa Mtanzania ni zaidi ya mazoezi ya ukomandoo! Halafu mjinga mmoja anakuja na hoja kufanya mazoezi kila mwezi!Inaonesha hafuatilii kbsa habari za nje MUNGU WA LIZABONI. AKiamka asubuhi anakunywa chai safi ya maziwa na mazagazaga kibao. Wengine watajiju kuzaliwa tz. Anatafuta wa kutumbua.