Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Kama kikwete aliwabatiza kwa maji mimi ntawabatiza kwa moto (mafisadi)
 
Rasilimali za nchi lazima zitumike kwa manufaa ya watu wote
 
"Walibya walimuua Saddam... Hapana ni Gaddafi, Saddam alikuwa wa Kuwait"
Inaonesha hafuatilii kbsa habari za nje MUNGU WA LIZABONI. AKiamka asubuhi anakunywa chai safi ya maziwa na mazagazaga kibao. Wengine watajiju kuzaliwa tz. Anatafuta wa kutumbua.
 
Back
Top Bottom