"Nasikia kuna watu wanataka kumwaga damu.Mimi nawaambia wajaribu hata kumwaga mkojo waone" by ngoshi wa mama janeth
 
'Mimi nyimbo zenu ninazithamini sana paka za huyu Zanani aah Zuchu'
 
Off course kiusalama sio jambo jema kabisa kwa ikulu kijengwa na wakandarasi wa kigeni.

Hata ule ujio wa Bush na Obama TZ wakaigeuza ikulu yetu kama sebule yao kwa kisingizio cha usalama wa viongozi was far beyond standard requirement.
 
Sasa nimepinga nini hapo? Mimi nimeuliza swali kutokana na maelezo kwenye mada. Sasa kashfa na matusi ya nini? Kama huna jibu si bora unyamaze kuliko hivyo ulivyo jibu? Sijui kama umesoma mada na kisha swali langu kama umeelewa
Kakojoe ulale we kima mnakalia kupinga tuu kila kitu shwain wahed.

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo wa ngoma lele we kibonde mtu mwenye saikolojia nzuri anaona kwa viashiria na Tulimumu bahati yako nimekustua vinginevyo ulishajiandaa kupinga na hili pia.

Acheni uboya bana sawa Magu anasifiwa saa singine hadi inakera Ila nanyi mnapinga kila kitu hadi mnaboa
 
mkuu,achana nae huyo,kuna watu huja humu na hasira za nyumbani kwao
 

Mzee Baba lazima atoe mfano wa kumhusu mwanamke?

Wapinzani atawapiga mpaka shangazi zao. Mchimba Tanzanite aongeze mke. Wafadhili watachukua wake na mabinti zetu!

Magufuli hata akiwa na kitu kizuri cha kusema, atakisema vibaya.

Yani anampongeza mchimba madini ya Tanzanite, hapo hapo akachomekea habari za kuoa mke mpya.

Kwenye kujenga Ikulu, lazima aingize habari za wanawake.

Ni kama vile akili yake yote iko kwa mwanamke.

Na ikiwa bado nchi inafadhiliwa bajeti na wahisani, haiwezi kuepuka fedheha ya kufadhiliwa, hata kama Ikulu tumejenga wenyewe.
 
Ngoja nikuache maana nisije nika fanana nawe wenye akili watashindwa kututofautisha. Mithali 26: 4
 
Jambo jema. Maendeleo hayana vyama. Tuchape kazi kulijenga taifa letu. Utanzania na Uzalendo kwanza vyama vyetu vya siasa baadaye.
 
Meko anapenda kujisifia kama ndgu zake wa kagera,oooh najenga miradi kwa pesa zetu kumbe kakopa ADB mpka hakopesheki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…