Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Jiwe kwa "fix" tu hajambo!Nchi gani hizo zilitaka kutujengea ikulu? Au ni China?
“Zipo Nchi ziliomba kutujengea Ikulu nikasema hizi dharau, ukimruhusu jirani akutandikie kitanda chako cha kulala na Mkeo siku nyingine atafanya maajabu hasa akiwa na nguvu, akishindwa kuchukua Mkeo atachukua Mabinti zako, hata majirani atawachukua, Ikulu tunajenga wenyewe"
Hii ndio kauli ya Rais Magufuli aliyoitoa jana akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu ccm Jana mjini Dodoma.
Hongera JPM kwa uthubutu na kujiamini kwako hatuwezi kukubali kujengewa kila kitu.

Bado unaishi karne zilizopita mkuu, kama bado una fikra za kudhani Ikulu inalinda "usalama wa viongozi."Off course kiusalama sio jambo jema kabisa kwa ikulu kijengwa na wakandarasi wa kigeni.
Hata ule ujio wa Bush na Obama TZ wakaigeuza ikulu yetu kama sebule yao kwa kisingizio cha usalama wa viongozi was far beyond standard requirement.
Na kama ipo nchi yoyote (iliyoomba? Hivi nchi itaanzaje lakini kuomba?)Huyo Jiwe kwa "fix" tu hajambo!
Nina uhakika hakuna nchi yoyote iliyoomba kutujengea Ikulu, bali hizo zilikuwa "kamba" zake kama ilivyokuwa kawaida yake!
Kwa kuwa kama ni kweli, hilo jambo limefanyika, tunamuomba Mheshimiwa Rais atuonyeshe hiyo tender, ili tuweze kuijua ni nchi gani na ilileta lini hiyo tender
Meko anapenda kujisifia kama ndgu zake wa kagera,oooh najenga miradi kwa pesa zetu kumbe kakopa ADB mpka hakopesheki tena
Na kama ipo nchi yoyote (iliyoomba? Hivi nchi itaanzaje lakini kuomba?)
Kwa sasa hivi hakuna nchi yoyote duniani inayotafuta kujikweza kwetu, isipokuwa...
Lakini, hili nalo liwe jambo la kujisifia? Mbona Gavana Mtua wa pale Machakosi, Kenya kajenga ikulu, 'replica' ya Ikulu yao ya Nairobi?
Hili nalo liwe jambo la kutafutia ujiko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nini lolDahhh..
Huyu baba anamaneno, hata kanga hazijamfikia....[emoji23][emoji23][emoji23]
Off course kiusalama sio jambo jema kabisa kwa ikulu kijengwa na wakandarasi wa kigeni.
Hata ule ujio wa Bush na Obama TZ wakaigeuza ikulu yetu kama sebule yao kwa kisingizio cha usalama wa viongozi was far beyond standard requirement.
Waethopia wanajenga Bwawa la umeme litakalo kuwa kubwa kuliko yote Afrika wao wenyewe na mwezi wanaanza kujaza maji. La kwetu kadogo tu ka nne kwa ukubwa Afrika bila la Ethiopia, tumempa kandarasi Mwarabu wa jangwani na PhD zimejaa. Ikulu ya tembe mabeberu wangekuwa na uwezo wa kujenga kuliko Wagogo wenyewe waliozaliwa, kukulia na kuishi toka mababu na mababu? Utamaduni wa Kigogo ni vema umezingatiwa!Tungebezwa sana, kama ilivoshangaza AU kujengewa makao makuu na Uchina, zile ni dharau.
Kakojoe ulale we kima mnakalia kupinga tuu kila kitu shwain wahed.
Si anadai amekataa, kwa vile kitanda chake na wake zake ..., hapo wewe huoni ni kutafuta sifa?Ni katoa taarifa, utafsiri wako ndio umeona amejisifu !