'ukiharibu na wewe unaharibikia hapohapo'...Uzi huu naomba uwe maarumu kwa kuweka kumbukumbu ya Maneno mazuri ya Aliyewahi kuwa Raisi wa Tanzania 2016-2021.
Nukuu ziwe za staha, hii itakua njia nzuri ya kumuenzi Mwendazake

....KWELI KWELI....Uzi huu naomba uwe maarumu kwa kuweka kumbukumbu ya Maneno mazuri ya Aliyewahi kuwa Raisi wa Tanzania 2016-2021.
Nukuu ziwe za staha, hii itakua njia nzuri ya kumuenzi Mwendazake
Amen"Tumtegemee Mungu kwa kila jambo"
Nimecheka san jion ya leo NAKUKUMBUKA JPMAsiye na hela apige mbizi
Unasema"nireteeni gwajima, nireteeni gwajima, nireteeni gwajima"
Ubaya Ubaya tu.Poleni Sana Wana Jamvi kwa msiba mzito wa Rais wetu, Hayati John Pombe Magufuli.
Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho yake mahali Pema peponi.
Nilipita mitandao mbali mbali ya kijamii na kuona watu wanapost clips mbali mbali na ikanikumbusha kauli zake nyingi ambazo alizitoa katika kutetea wanyonge.
1. "Nime-sacrifice maisha yangu kwa ajili ya wa-Tanzania wanyonge".
2."Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu".
3. "Tanzania ni Tajiri na sio masikini".
4. "Wa-Tanzania mtanikumbuka si kwa Mabaya,Mtanikumbuka kwa mazuri"
Je, Kauli ipi unaikumbuka zaidii....Ongezea 👇