Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Uzi huu naomba uwe maarumu kwa kuweka kumbukumbu ya Maneno mazuri ya Aliyewahi kuwa Raisi wa Tanzania 2016-2021.

Nukuu ziwe za staha, hii itakua njia nzuri ya kumuenzi Mwendazake
'ukiharibu na wewe unaharibikia hapohapo'...
'Tanzania siyo maskini'!
'Nataka Tanzania iwe dornor country!
 
....KWELI KWELI....
 
Poleni Sana Wana Jamvi kwa msiba mzito wa Rais wetu, Hayati John Pombe Magufuli.

Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho yake mahali Pema peponi.

Nilipita mitandao mbali mbali ya kijamii na kuona watu wanapost clips mbali mbali na ikanikumbusha kauli zake nyingi ambazo alizitoa katika kutetea wanyonge.
1. "Nime-sacrifice maisha yangu kwa ajili ya wa-Tanzania wanyonge".
2."Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu".
3. "Tanzania ni Tajiri na sio masikini".
4. "Wa-Tanzania mtanikumbuka si kwa Mabaya,Mtanikumbuka kwa mazuri"
Je, Kauli ipi unaikumbuka zaidii....Ongezea 👇
 
"nireteeni gwajima, nireteeni gwajima, nireteeni gwajima"
Unasema
255766524342_status_417c315e642c42e49b777178904479f0.jpg
 
Poleni Sana Wana Jamvi kwa msiba mzito wa Rais wetu, Hayati John Pombe Magufuli.

Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho yake mahali Pema peponi.

Nilipita mitandao mbali mbali ya kijamii na kuona watu wanapost clips mbali mbali na ikanikumbusha kauli zake nyingi ambazo alizitoa katika kutetea wanyonge.
1. "Nime-sacrifice maisha yangu kwa ajili ya wa-Tanzania wanyonge".
2."Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu".
3. "Tanzania ni Tajiri na sio masikini".
4. "Wa-Tanzania mtanikumbuka si kwa Mabaya,Mtanikumbuka kwa mazuri"
Je, Kauli ipi unaikumbuka zaidii....Ongezea 👇
Ubaya Ubaya tu.
 
Back
Top Bottom