"Mriponichagua niriahidi nitaleta tetemeko"?
Hapana muheshimiwaaaaa
 
"Sitakaa niteue mpinzani katika serikali yangu..." 2016 akiwa Pemba alipokuwa akimkashifu Maalim Seif kususia uchaguzi na SUK, ila akawa Rais aliyeongoza kununua Wapinzani na kuwabeba bila kuzingatia kura za maoni


''Siwezi kugawa mkoa au wilaya ni kuongeza gharama za kuendesha serikali huku wananchi hawapati huduma" 2017 akiwa Morogoro baada ya kuombwa kugawa mkoa huo.... Kumbe alikuwa ba mpango wa kuifanya Chato iwe mkoa
 
munataka kupanuliwa.......................................barabara
 
Bila kujali itikadi/ kabila/ vyama vyetu tuijenge Tanzania yetu, lakini zaidi ya yote tumtangulize Mungu mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…