Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Umenena kweli na kwa uchungu mkubwa lakini nenda taratibu mzee,usijenaswa kwa ku post maudhui yenye maudhi kwa mfalme.Hivi humu hamna wazee wa miwani myeusi(nyoka) wasije wakakutia nguvuni kisha zako korodani(kokwa) wakazibondabonda kwa mawe.sio watu wazuri wale.
 
Serikali hii ni tajiri
Serikali yangu haitamlipa mtu mshahara wa mil 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…