Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurugenzi wa Jiji Bwana KabweHabari,
Tunapoelekea 60 kama jamhuri hebu tujikumbushe matukio tofauti ya JPM.Mimi moja ya tukio ninalokumbuka ni la kutumbuliwa kwa aliyekuwa mkuregenzi wa jiji la Dar sikumbuki Jina lake. Ila nakumbuka tu aliuliza kwa sauti nimymbue nimuache raia wakajibu atumbuliwe. Kama Pilato vile akamtumbua. Bwana yule alipa Presha.
Tukumbushe mengine.
Jamaa kauli zake ukiambiwa yeye ndo kasema kama ukumsikia unaweza kataa kwamba amesema.Mke wako anakudanganya kachelewa kwwnye foleni kumbe analiwa huko. Ufunguzi wa ujenzi ya barabara ya Kimara Chalinze