Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

Kuna kipindi nilivunjika mkono nikawekewa POP. Nikakutana na mshkaji wangu mmoja kaniuliza kulikoni, nikamwambia niliteleza kulikuwa na utelezi mvua inanyesha nikaangukia mkono...
Akaniambia haiwezekani uanguke tu lazima kuna kitu..hiyo kitu sio ya kawaida😅😅
Sikutaka kuendelea kumsikiliza nikamwambia ischia hapo hapo usiendelee, mimi nimeumia kawaida na nitapona kwa muda ule ule niliombiwa na daktari.
Kuna watu sijui akili zao zipoje.
 
Acha kuendekeza ushirikina
 
Ulianguka chooni pole ! Chooni ni lango rahisi wachawi kukuingilia
 
Nina Yesu naishi bila mashaka.
Namtwisha hata mara milioni.
Sina haja ya kuishi kama kunguru!
 
Hizi tozo ziondolewe sasa maana kila mtu anajihisi amerogwa sasa hivi.
 
Kwangu atasanda maana baada ya kuchukua zangu mimi ndio nitachukua zake
 
Jamaa anaesema MWENGE wa Uhuru ni ushirikina naomba apite na hapa maana hizi ndio zitakua mada zake pendwa

Mimi nipo paaaaale siti ya pili kutoka mwisho nawachora tu
[emoji3064]
So unitaje tu unaogopa nini sasa.. Haya tayari niko hapaa nimefika
 
So unitaje tu unaogopa nini sasa.. Haya tayari niko hapaa nimefika
Haya twende kazi tupe sababu za kusema kwamba huu MWENGE wa Uhuru ni ushirikina mkuu?

Maana daaah nimekosa majibu Mpaka leo sijajibiwa huu MWENGE una nini mboni unapigwa vita sana kwamba unahusika na masuala ya kishirikina nini chanzo?

Tiririka mkuu ngoja nivute siti...
 
Soma tena


Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
 
Ngojaaa niingiemo kwa link nkajisomeemo eeeh nilikuamo sijasomamo gwe
 
Ujinga tu na imani za kifala, fanyeni kazi hakuna cha nyota wala ujinga kama huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…