Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Najitolea kuwatwisha wote wenye uhitaji, hizo nguvu kama zitaondoka kwa usumaku tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi nilivunjika mkono nikawekewa POP. Nikakutana na mshkaji wangu mmoja kaniuliza kulikoni, nikamwambia niliteleza kulikuwa na utelezi mvua inanyesha nikaangukia mkono...Huu ni UPUMBAVU kama UPUMBAVU mwingine?,kwahiyo kwasiku moja wakitwishwa beseni na watu 40 wanaondoka na NYOTA za watu 40?,na kesho yake hivyo hivyo?,na Kwa miezi 6 wanakuwa wamechukua NYOTA za watu wangapi!?,. Na mbona wanabaki na hali ileile hata miaka 2,nyota zinawasaidia nini?!?,Mimi Kwa upande wangu washikaji zangu wote walioonyesha akili kama za mleta mada niliwapiga chini mapema sana, hata Sasa hivi nikipata rafiki mpya mwenye akili za kipumbavu kama hizi kama Sina faida nae ya moja Kwa moja hata namba yake nikishamgundua naifuta. Binadamu yeyote asiyetumia LOGIC kufikiri sio binadamu kamili. Imani potofu ndo zinazochelewesha jamii ya watu weusi. Hizi ni akili za kimaskini sana, ndo maana jamii ya kutoana mapepo hata makanisani ni Kwa watu wa chini tu. Ni kama matajiri hawanaga mapepo sababu hawaendekezi huu UPUMBAVU.
Achana nae, huyu mtoa mada hana lolote zaid kuendekeza ushirikinaUnafahamu maana ya force of gravity?
Ulianguka chooni pole ! Chooni ni lango rahisi wachawi kukuingiliaKuna kipindi nilivunjika mkono nikawekewa POP. Nikakutana na mshkaji wangu mmoja kaniuliza kulikoni, nikamwambia niliteleza kulikuwa na utelezi mvua inanyesha nikaangukia mkono...
Akaniambia haiwezekani uanguke tu lazima kuna kitu..hiyo kitu sio ya kawaida😅😅
Sikutaka kuendelea kumsikiliza nikamwambia ischia hapo hapo usiendelee, mimi nimeumia kawaida na nitapona kwa muda ule ule niliombiwa na daktari.
Kuna watu sijui akili zao zipoje.
Haikuwa chooni. Nje kabisaUlianguka chooni pole ! Chooni ni lango rahisi wachawi kukuingilia
Kwangu atasanda maana baada ya kuchukua zangu mimi ndio nitachukua zakeMsiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua, lazima apointi mmoja kati yenu amtwishe beseni hilo!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi! Ushauri wangu, msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE: Siyo wote lakini ni baadhi yao
View attachment 2348007
So unitaje tu unaogopa nini sasa.. Haya tayari niko hapaa nimefikaJamaa anaesema MWENGE wa Uhuru ni ushirikina naomba apite na hapa maana hizi ndio zitakua mada zake pendwa
Mimi nipo paaaaale siti ya pili kutoka mwisho nawachora tu
[emoji3064]
Haya twende kazi tupe sababu za kusema kwamba huu MWENGE wa Uhuru ni ushirikina mkuu?So unitaje tu unaogopa nini sasa.. Haya tayari niko hapaa nimefika
Soma tenaHaya twende kazi tupe sababu za kusema kwamba huu MWENGE wa Uhuru ni ushirikina mkuu?
Maana daaah nimekosa majibu Mpaka leo sijajibiwa huu MWENGE una nini mboni unapigwa vita sana kwamba unahusika na masuala ya kishirikina nini chanzo?
Tiririka mkuu ngoja nivute siti...
Ngojaaa niingiemo kwa link nkajisomeemo eeeh nilikuamo sijasomamo gweSoma tena
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa. Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji ni uhai na watu walipewa muda wa kujiandaa. Hili ni pigo takatifu lenye nafasi ya uhai ndani yake...www.jamiiforums.com
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Ujinga tu na imani za kifala, fanyeni kazi hakuna cha nyota wala ujinga kama huoMsiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua, lazima apointi mmoja kati yenu amtwishe beseni hilo!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi! Ushauri wangu, msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE: Siyo wote lakini ni baadhi yao
View attachment 2348007
Waambie wamekalia nyota nyota wakalie na reli basi tuone mimba zao zitakuajeUjinga tu na imani za kifala, fanyeni kazi hakuna cha nyota wala ujinga kama huo
Na ndiyo kila kituImani kitu kigumu Sana.
Yesu doesn't exist stop believing in fairy taleNina Yesu naishi bila mashaka.
Namtwisha hata mara milioni.
Sina haja ya kuishi kama kunguru!