Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

Huu ni UPUMBAVU kama UPUMBAVU mwingine?,kwahiyo kwasiku moja wakitwishwa beseni na watu 40 wanaondoka na NYOTA za watu 40?,na kesho yake hivyo hivyo?,na Kwa miezi 6 wanakuwa wamechukua NYOTA za watu wangapi!?,. Na mbona wanabaki na hali ileile hata miaka 2,nyota zinawasaidia nini?!?,Mimi Kwa upande wangu washikaji zangu wote walioonyesha akili kama za mleta mada niliwapiga chini mapema sana, hata Sasa hivi nikipata rafiki mpya mwenye akili za kipumbavu kama hizi kama Sina faida nae ya moja Kwa moja hata namba yake nikishamgundua naifuta. Binadamu yeyote asiyetumia LOGIC kufikiri sio binadamu kamili. Imani potofu ndo zinazochelewesha jamii ya watu weusi. Hizi ni akili za kimaskini sana, ndo maana jamii ya kutoana mapepo hata makanisani ni Kwa watu wa chini tu. Ni kama matajiri hawanaga mapepo sababu hawaendekezi huu UPUMBAVU.
Kuna kipindi nilivunjika mkono nikawekewa POP. Nikakutana na mshkaji wangu mmoja kaniuliza kulikoni, nikamwambia niliteleza kulikuwa na utelezi mvua inanyesha nikaangukia mkono...
Akaniambia haiwezekani uanguke tu lazima kuna kitu..hiyo kitu sio ya kawaida😅😅
Sikutaka kuendelea kumsikiliza nikamwambia ischia hapo hapo usiendelee, mimi nimeumia kawaida na nitapona kwa muda ule ule niliombiwa na daktari.
Kuna watu sijui akili zao zipoje.
 
Ulianguka chooni pole ! Chooni ni lango rahisi wachawi kukuingilia
 
Nina Yesu naishi bila mashaka.
Namtwisha hata mara milioni.
Sina haja ya kuishi kama kunguru!
 
Hizi tozo ziondolewe sasa maana kila mtu anajihisi amerogwa sasa hivi.
 
Msiseme dmkali kasema!

Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!

Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua, lazima apointi mmoja kati yenu amtwishe beseni hilo!

Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi! Ushauri wangu, msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!

Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue

NOTE: Siyo wote lakini ni baadhi yao
View attachment 2348007
Kwangu atasanda maana baada ya kuchukua zangu mimi ndio nitachukua zake
 
Jamaa anaesema MWENGE wa Uhuru ni ushirikina naomba apite na hapa maana hizi ndio zitakua mada zake pendwa

Mimi nipo paaaaale siti ya pili kutoka mwisho nawachora tu
[emoji3064]
So unitaje tu unaogopa nini sasa.. Haya tayari niko hapaa nimefika
 
Haya twende kazi tupe sababu za kusema kwamba huu MWENGE wa Uhuru ni ushirikina mkuu?

Maana daaah nimekosa majibu Mpaka leo sijajibiwa huu MWENGE una nini mboni unapigwa vita sana kwamba unahusika na masuala ya kishirikina nini chanzo?

Tiririka mkuu ngoja nivute siti...
 
Soma tena

Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
 
Ngojaaa niingiemo kwa link nkajisomeemo eeeh nilikuamo sijasomamo gwe
 
Msiseme dmkali kasema!

Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!

Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua, lazima apointi mmoja kati yenu amtwishe beseni hilo!

Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi! Ushauri wangu, msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!

Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue

NOTE: Siyo wote lakini ni baadhi yao
View attachment 2348007
Ujinga tu na imani za kifala, fanyeni kazi hakuna cha nyota wala ujinga kama huo
 
Back
Top Bottom