Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
π π π hakuna cha mikenge , kiufupi ni wewe umeshasema bwashee π€£π€£.Kuna mikenge humu itakwambia 'haiombwi hivo'
π€£π€£π€£π π π hakuna cha mikenge , kiufupi ni wewe umeshasema bwashee , acha kutuona mafalaπ€£π€£
Mhmm maembe hayana msimu kama uko na pesa yako mkononiHapo kwenye mimba mtuvumilie Tu unataka maembe alafu msimu bado
Sahihi kabisaaSehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya kihomoni na kihisia,ambayo yanamfanya asiwe yule mwanamke ambaye umemzoea.
Aisee,Nyakati ya pili ni Pale ambapo mwanamke ndio anasimamia majukumu yote hapo nyumbani,kuna kipindi kwenye maisha unakutana na changamoto kadhaa,biashara inaweza kuyumba au kibarua kikaota majani,hapo itabidi mwanamke au mkeo asimamie show nzima.
Dah,hizi nyakati haitaji moto mwingine kutoka kwako wa sijui michepuko au mawasiliano na wengine ambao hayaeleweki.
Mbona siyapati?Mhmm maembe hayana msimu kama uko na pesa yako mkononi
Haujamwambia Mr wako ayasake vizuriMbona siyapati?
Hapo hujaelewa expert wangu,namaanisha kipindi ambacho mwanamke anasimamia show hapo home,basi nawe usilete kesi za michepuko yako utazidisha balaa kwa mkeoSahihi kabisaa
Aisee,
Dah,
Maana yake mambo yakikaa vizuri tu mnasambaratika chap, maana mwanaume wa kumvumilia mwanamke mchepukaji hajazaliwa bado
π€£π€£Kwenye mimba wengine "wanapitishiamo" vitabia vya kijinga.
Mtu anakuamsha saa 8 usiku eti nitaftie embe bichi au muwa
Mi nlitaka nimwambie aache uvuvi kharamu.π π π hakuna cha mikenge , kiufupi ni wewe umeshasema bwashee π€£π€£.