Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #61
Mara nyingi watu hutamani vitu ambavyo huwa na mazoea navyo au hupenda kuvitumiaHebu mnisaidie haya
Wanaobeba mimba vijijini nao wanasumbuaga waume zao wakatafute soda baridi usiku mkubwa? Au ice cream? Au miguu ya kuku?
Kwahiyo naamini wanawake wa vijijini sio wenye kutumia soda au ice cream ila watakuwa na vitu vyao ambavyo huvipenda