Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Acha tu baba Antipas, pole jamani, mtoto ndiyo alikua amecharuka huko tumboni anataka Pemba la sivyo hakulaliki π€£Binti wa zamani unakumbuka uliwahi nishona nikakutafutie Pemba dukani. Saa nane za usiku usingizi umenikolea
Binti wa zamani π€£π€£Acha tu baba Antipas, pole jamani, mtoto ndiyo alikua amecharuka huko tumboni anataka Pemba la sivyo hakulaliki π€£
Sisi ndio watoa ushauri wazuri , tunachangia hapa hapa.Ambao hawaolewa/hawajaoa wana comment wapππ
Na ulivyo mkorofi unaweza ni kata wewe..πUmenena vyema mkuu,hasa hiyo Namba mbili!
ππkwamba aujaoa lkn ushauri unatoaSisi ndio watoa ushauri wazuri , tunachangia hapa hapa.
Mnoππkwamba aujaoa lkn ushauri unatoa
Nawaonea huruma wanao chukua ushauri wakoπ
Wewe dharau tuNawaonea huruma wanao chukua ushauri wakoπ
Afande uko wapi....View attachment 3477401
Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana
Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo
Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya kihomoni na kihisia,ambayo yanamfanya asiwe yule mwanamke ambaye umemzoea.
Hivyo kuwa mpole na jitahidi kumuelewa kwamba huyu sasa hivi sio mwenyewe bali mtu mwingine kabisa,jitahidi kumsikiliza na kumliwaza sana,ni kipindi hiki anakuhitaji sana,anaweza kuwa na maudhi mengi lakini tambua anapitia mabadiliko makubwa,huu ndio wakati anaweza kukuagiza chips halafu ukizileta hazitaki,au saa nane usiku ukatafute soda ya baridi
Kwahiyo ni changamoto za msimu zitakwisha tu,ni wakati kumjali sana na kumuonyesha upendo wa hali ya juu sana,hakika anahitaji uwepo wako sana katika kipindi hiki.
Nyakati ya pili ni Pale ambapo mwanamke ndio anasimamia majukumu yote hapo nyumbani,kuna kipindi kwenye maisha unakutana na changamoto kadhaa,biashara inaweza kuyumba au kibarua kikaota majani,hapo itabidi mwanamke au mkeo asimamie show nzima.
Hapa bwana Pana changamoto sana,hawa viumbe hawa kuumbwa kuangalia au kuhudumia familia,sio asili yao hata ajitutumue vipi lakini ndani yao panawaka moto sana,hizi nyakati haitaji moto mwingine kutoka kwako wa sijui michepuko au mawasiliano na wengine ambao hayaeleweki.
Kuwa mpole lakini usipoteze uanaume wako,ila kuwa a loving husband na mjali sana mkeo,appreciate mchango wake walau kidogo unaweza kupunguza joto ndani ya nafsi yake.
Ni hayo tu!
πππWewe dharau tu
Hapa huwa ni changamoto sanaNyakati ya pili ni Pale ambapo mwanamke ndio anasimamia majukumu yote hapo nyumbani,kuna kipindi kwenye maisha unakutana na changamoto kadhaa,biashara inaweza kuyumba au kibarua kikaota majani,hapo itabidi mwanamke au mkeo asimamie show nzima.
Wewe ukiachika usisite kunitafutaπππ
Bas ka mkubwa sisemi tena,,ila nikikufuata unishauri usizingue sasa
Niachike kwenye ndoa ganππWewe ukiachika usisite kunitafuta