Nyakati Hizi Mbili Mwanaume Unatakiwa Umjali Sana Mwanamke

Hebu mnisaidie haya

Wanaobeba mimba vijijini nao wanasumbuaga waume zao wakatafute soda baridi usiku mkubwa? Au ice cream? Au miguu ya kuku?
Mara nyingi watu hutamani vitu ambavyo huwa na mazoea navyo au hupenda kuvitumia

Kwahiyo naamini wanawake wa vijijini sio wenye kutumia soda au ice cream ila watakuwa na vitu vyao ambavyo huvipenda
 
Umefukuzwa kazi, uanze kumbembeleza mkeo kuhusu matumiz ya kila siku ndani kama ulivyokuwa na kazi!? Au mimi ndio sijaelewa na sio kwamba anatakiwa kuishi kwa namna situation iliyopo?

Asante mwanajukwaa
Kwa kawaida huwa tunajiweka kutokana mazingira au hali tulinazo,kama mko vizur basi mkeo anajua kabisa hivi vitu vinapatikana n

Lau

Anajua maisha yetu ya kuunga unga anajua pia,haya yapo nje ya uwezo wetu hivyo nijiweke kutokana na hali halisi ambayo tunayo kama familia
 
Ongezea hii hapa.Mwanamke akifikia menopause au lugha nyingine kuanza kukoma hedhi wana usumbufu flani wa ajabu sana.Hasira,UTI kwa sana,mifupa kulainika,kiuno na mgongo kuuma,kutoka jasho usiku.
Kugoma kabisa tendo la ndoa na wewe kudai hajisikii.Kipindi hiki wanaanza kutembea kama bata kwa wengine na wengine ndio wanaweza hata kutenguka mguu.
Sio wote dalili zinafanana ila kipindi hiki kinadumu kwa takribani miaka miwili baada ya hapo wengine wanaanza kuwa moto chini sana
 
Mimi niliambiwaga nina hamu ya samaki wabichi tukaenda ferry kufika kule akaniambia hamu imeisha baada ya kusikia ile harufu ya samaki ferry
 
Mkuu km ulikuwepo huu ndio wakati ninaupitia kwa sasa asikuambie mtu hiki kipindi ni kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…