Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

Hata sijui wanatoa wapi nguvu ya kusalimia ovyo watu wasiowajua,my friend ni kubaya,ni hatari sana kuchat na strangers,vile wameweka profile wanaspin gari kubwa kubwa hahaha run for your life.
Wengine wanatoka Africa magharibi, nchi jirani n.k
 
melki wa matukio
Njoo ona huku tukio jingine hiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni ujinga mtupu umejaa vichwani mwa wanaume, hata akikusaidia kitu cha kawaida tu, ikatokea mmezoeana ukampa namba, jiandae kuambiwa unamtaka..!! Ni kuwa makini nao.
kamtu kanaanzisha thread kabisa, eti mdada alikuwa anamchekea ile kumtongoza kakataliwa katu katu..!

yaani hivi vyenyewe vikichekewa kidogo tu machine zinasimama..!!
 
Mta
Mtandao gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…