NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

Sameli sitta ni kati ya watu ambao ningeulizwa anastahili uhai au hapana moja kwa moja ningesema hastahili hata sekunde au nukta moja...
 
KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI BORA KULIKO YA SASA, HONGERA MH. RAISI, HONGERA WATANZANIA.

Katika historia ya uandishi wa katiba mpya duniani hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi kuandika katiba mpya ikakidhi matakwa ya wananchi wote na taifa kwa 100%. Katiba si msaafu wala si biblia kwamba haiwezi kufanyiwa maboresho. Leo hii jambo ambalo tumeliona lina tija na manufaa kwa taifa na tukaliingiza kwenye katiba, kesho tutaliona halina tija na tutakubaliana kuliondoa au kuliboresha. Vilevile jambo ambalo leo tumeliona halina tija na kutoliingiza ndani ya katiba kesho tutaona umuhimu wake na tutakubaliana kuliingiza ndani ya katiba yetu.

Katiba inayopendekezwa imetambua haki za makundi mbalimbali kama vile wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wasanii, vijana, wanawake na wengine. Pia katiba inayopendekezwa imetambua haki bunifu, mgombea, binafsi, maboresho katika muungano wetu sambamba na kuweka mfumo bora wa kusimamia rasirimali za taifa na kudhibiti mianya ya matumizi mabovu ya rasirimali. Kundi pekee ambalo linadhani halijatendewa haki katika katiba hii ni kundi la wanasiasa wachache ambao kwao tafsiri ya katiba bora ni ile inayokidhi maslahi yao ya kisiasa. Hili ni jambo ambalo watanzania hawana budi kulikataa.

Jambo la msingi ambalo kila mtanzania anapaswa kukubali ni kwamba katiba inayopendekezwa ni bora kuliko ile ya sasa. Wakati ambapo baadhi ya watu wakiipinga na kudai kwamba haiwezi kulivusha taifa letu, wapo watanzania tena asilimia kubwa ambao wanaiona katiba inayopendekezwa kuwa ni chombo madhubuti ambacho kitachochea maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja, na ikifika wakati watanzania wote tukawa na mawazo yanayofanana basi tujue kwamba tunapaswa kujitazama upya. Kutofautiana kimtazamo ni jambo la kawaida na
hiyo ndiyo afya ya demokrasia iache ichukue nafasi yake. Tupingane kwa hoja bila kuhatarisha amani ya taifa letu.

Hongera Mh. Raisi Dr. Jakaya Kikwete kwa kazi kubwa uliyoifanya. Hili ni jambo la kihistoria ambalo halijawahi kutokea katika historia ya Taifa. Hii ni mara ya kwanza kwa Taifa letu kuandika katiba yake kwa kushirikisha wananchi wake. Yapo mataifa ambayo yaliwahi kuandika katiba zao kwa kutumia Bunge la katiba pekee, wapo waliogeuza Bunge la kawaida na kuwa Bunge la katiba. Kwa taifa letu, mchakato umekuwa wa kidemokrasia zaidi kiasi kwamba wapo wanazuoni, wanasiasa na mataifa mbalimbali ambao wameishangaa Tanzania kwa kuruhusu demokrasia kwa kiwango hiki. Kwa hakika Mh. Rais anastahili pongezi na daima watanzania tutakukumbuka na jina lako haliwezi kufutika katika fikra zao.

Hebu mfikie mahala mmuogope mungu hizi propaganda za kuhadaa wananchi mpaka lini jamani? Mmesha iba sana, mmesha au sana, mmeshatupiga sana, na mmesha tudanganya sana ifike mahara mtuhurumie angalau nasi tuishi kama watu, tushomeshe wanetu kama nyie, tutibiwe kama nyie, tumiliki ardhi kama nyie, tupate maji safi kama nyie nk.

Hebu angalia katiba unayo pigia chapuo, mosi vipengele vyote vinavyo ongelea uadilifu, na uwajibikaji vimenyofolewa ili tu mendelee kutuibia bila kuwepo chombo cha kuwabana, pili haki zote mlizo zitaja hazina maana kwani hata katiba iliyopo sasa ina haki nyingi za msingi kama elimu afya na haki za makundi mbalimbaili lkn hali nimbaya sana. warioba alipendekeza haki hizi zidaiwe mahakamani lakini mmenyofoa ili muendelee kufaidi na wanenu haki zetu na siye ilituandamane muendelee kutuua na kutupiga. Tatu kumekuwepo na ombwe kubwa sana la wizi wa pesa za walahoi na kuweka nje ya nchi, warioba aliliona hili akasema kama wewe nikiongozi usiwe na account inje ya nchi mmenyofoa mkiongozwa na mzee wa vijisenti na magamba ili muendelee kutuibia.

Hakuna kumuwajibisha mbunge hata kama hawanyii wana kile ambacho walikuwa wanatarajia, kweli hiyo ni haki kwa wanachi? hawa wabunge wa kibongo? kazi yao ni kutetea masilahi ya chama tu wala siyo wana nchi,hali ndo itakuwa mbaya sana kwani mwananchi hala lolote tena mpaka uchaguzi unapofika analetewa kanga na chumvi.

Wananchi walipendekeze kwakuwa bunge na mahakama za sasa vimekuwa vya porojo tu havina nguvu yeyote juu ya serikali tutenganishe ,mawaziri wasiwe wabunge na majaji wasiteuliwe na rais mmenyofoa ili tu rais wenu awe juu ya bunge,na mahakama ili mjihakikishie usalama wenu wakati mnapokuwa mnatuibia, mnatupiga mnatupa elimuna afya mbovu, nk.

Yako mengi sana ambayo yanaonyesha katiba mliyopitisha siyo ile tuliyo ipendekeza, najua itapita kwa gharama yoyote ile kama mlivyo fanya kwenye BMK lkn na wapa message yangu kuwa 'chenye mwanzo hakikosi mwisho hata wana waisaraeli waliteseka sana utumwani lkn siku moja walikombolewa, mtutawale vizuri tu tupeni haki zetu na mtimize wajibu wenu kwetu sisi mbumbu hata siku moja mambo yakigeuka msije mkakimbia nchi yenu.
 
Thanks mkuu maana nilikuwa nahangaika kuipata walau niipitie nione kama yale ya msingi yamezinfatiwa? Na si kubase kwa wanayosema wanasiasa tu. Tuisome ili tuamue.
 
mh jani swala la katiba nibla msingi na tete kwa kuwa wengi wetu hatuna weledi na hatujishughulishi na swala hili. bado litabaki swala mtambuka
 
Huwezi ukatengeneza kitu kimakosa, kisha mtu ambaye hana ujuzi ule akakuambia mbona unatengeneza huku kuna makosa ya wazi, wewe una mpiga kofi anayekuonyesha kosa lako na kumlazimisha akulikubali, eti utarekebisha mbele ya safari" Huko ni kutudanganya!

Mfano: Wewe ni muunda bodi ya bus, umeletewa mchoro wa bus litavyotakiwa kuwa na mifumo yake, wewe eti kwa vile ni muundaji una kataa mchoro kisha unatengeneza bus likiwa na viti vizuri ili makundi ya abilia wako wakae kwa starehe, lakini unaweka engine ya bajaji, wind screen ya mbao, mataili ya mbele yako juu ya body, madirisha makubwa kiasi kwamba mtu anapanda na kuteremkia huko huko. Kisha unasema "Bus jipya zuri watu waingie walikubali kwani litakuwa na mwendo wa kisasa!

Nilisha msikia Wasirra, Cheyo na magamba yaliyotunga katiba wanasema, Katiba pendekezwa ina makosa lakini wanasema ni nzuri dunia nzima hakuna! Heri ingekuwa na DOSARI lakini MAKOSA-HAIFAI HATA KIDOGO.
 
KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI BORA KULIKO YA SASA, HONGERA MH. RAISI, HONGERA WATANZANIA.

Katika historia ya uandishi wa katiba mpya duniani hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi kuandika katiba mpya ikakidhi matakwa ya wananchi wote na taifa kwa 100%. Katiba si msaafu wala si biblia kwamba haiwezi kufanyiwa maboresho. Leo hii jambo ambalo tumeliona lina tija na manufaa kwa taifa na tukaliingiza kwenye katiba, kesho tutaliona halina tija na tutakubaliana kuliondoa au kuliboresha. Vilevile jambo ambalo leo tumeliona halina tija na kutoliingiza ndani ya katiba kesho tutaona umuhimu wake na tutakubaliana kuliingiza ndani ya katiba yetu.

Katiba inayopendekezwa imetambua haki za makundi mbalimbali kama vile wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wasanii, vijana, wanawake na wengine. Pia katiba inayopendekezwa imetambua haki bunifu, mgombea, binafsi, maboresho katika muungano wetu sambamba na kuweka mfumo bora wa kusimamia rasirimali za taifa na kudhibiti mianya ya matumizi mabovu ya rasirimali. Kundi pekee ambalo linadhani halijatendewa haki katika katiba hii ni kundi la wanasiasa wachache ambao kwao tafsiri ya katiba bora ni ile inayokidhi maslahi yao ya kisiasa. Hili ni jambo ambalo watanzania hawana budi kulikataa.

Jambo la msingi ambalo kila mtanzania anapaswa kukubali ni kwamba katiba inayopendekezwa ni bora kuliko ile ya sasa. Wakati ambapo baadhi ya watu wakiipinga na kudai kwamba haiwezi kulivusha taifa letu, wapo watanzania tena asilimia kubwa ambao wanaiona katiba inayopendekezwa kuwa ni chombo madhubuti ambacho kitachochea maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja, na ikifika wakati watanzania wote tukawa na mawazo yanayofanana basi tujue kwamba tunapaswa kujitazama upya. Kutofautiana kimtazamo ni jambo la kawaida na
hiyo ndiyo afya ya demokrasia iache ichukue nafasi yake. Tupingane kwa hoja bila kuhatarisha amani ya taifa letu.

Hongera Mh. Raisi Dr. Jakaya Kikwete kwa kazi kubwa uliyoifanya. Hili ni jambo la kihistoria ambalo halijawahi kutokea katika historia ya Taifa. Hii ni mara ya kwanza kwa Taifa letu kuandika katiba yake kwa kushirikisha wananchi wake. Yapo mataifa ambayo yaliwahi kuandika katiba zao kwa kutumia Bunge la katiba pekee, wapo waliogeuza Bunge la kawaida na kuwa Bunge la katiba. Kwa taifa letu, mchakato umekuwa wa kidemokrasia zaidi kiasi kwamba wapo wanazuoni, wanasiasa na mataifa mbalimbali ambao wameishangaa Tanzania kwa kuruhusu demokrasia kwa kiwango hiki. Kwa hakika Mh. Rais anastahili pongezi na daima watanzania tutakukumbuka na jina lako haliwezi kufutika katika fikra zao.[/QUOTE

Kwa ulichokiandika hapa kwangu naona kama shabiki na mfia chama,cha mapinduzi. Ukiacha ushabaki na kuwa ktkat ndyo utaona upuuz uko wapi.

Kwa hali inavyoendelea Tanzania kwame haitaendelea kiuchumi japo ndiyo nvhi ynye rasimali nyngi afrika mashariki bila mageuz ya kisisa kufanyika. Na mageuz hayo yanapswa yaanzie kwny ktiba kupata misingi bora ya namna viongoz waendeshe nchi c kama watakavyo bali kama watz tutakavyo.

Kwangu naona katiba pendekezi ni upuuz, tunafanya mambo watu wazima kama watoto wadogo tusioona mbali, leo viongoz wanashtumia kwa rushwa, serikali wa wezi kamwe hakuna mwiz wa kimshika mwiz mwenzake.

Hivyo katba pendekez haina mambo muhimu ya kuzuia rushwa kwani imetoa mianya ya rushwa kwa viongoz wa umma
 
Kuandika Katiba kwa kushirikisha wananchini sawa, Kuandika katiba kidemokrasia zaidi ni sawa, lakini tunatakiwa kuangalia mbali zaidi ya hapo. Umewashrikisha watu, watu gani? Demokrasia zaidi imetumika, demokrasia gani? Katiba ni bora bora kwa nani?
Kama unawashirikisha watu amabo hawako huru wanakutegemea wewe, wakikupinga unaweza kuwaadhibu. Huo sio ushirikishwaji huru (undue influence). Wajumbe wote wa CCM wameikubali katiba inayopendekezwa kwa kutishiwa kunyang'anywa nafasi zao za kisiasa. Wanasiasa wote wa CCM wanategemea siasa maisha yao yote kiuchumi, kisiasa hata kiutamaduni. Unapowatishia kuwanyima ubunge unawatishia uhai wao, watakubali ili mradiwaendelee kuchaguliwa.
Samwel John Sitta, tulimsikia akisema Kura zisipotimia, zitatimilizwa. Maana yake Demokrasia itanyongwa kwa kuchachua. Ushindi unaopatikana kwa kuipindisha demokrasia hiyo sio demokrasia ya kujivunia. Demokrasia inapaswa itendeke na ionekane kutendeka. Demokrasia inapotiliwa shaka kuwa hata marehemu wamepiga kura, watanzania bara wamepigia kura upande wa Zanzibar, hesabu za idadi ya waliopiga kura inatiliwa shaka, watu waliohesabu kura ni wale wale wenye mawazo yanayobali kuelekezwa matokeo yaweje, sio demokrasia ya kujivunia.
KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI BORA KULIKO YA SASA, HONGERA MH. RAISI, HONGERA WATANZANIA.

Katika historia ya uandishi wa katiba mpya duniani hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi kuandika katiba mpya ikakidhi matakwa ya wananchi wote na taifa kwa 100%. Katiba si msaafu wala si biblia kwamba haiwezi kufanyiwa maboresho. Leo hii jambo ambalo tumeliona lina tija na manufaa kwa taifa na tukaliingiza kwenye katiba, kesho tutaliona halina tija na tutakubaliana kuliondoa au kuliboresha. Vilevile jambo ambalo leo tumeliona halina tija na kutoliingiza ndani ya katiba kesho tutaona umuhimu wake na tutakubaliana kuliingiza ndani ya katiba yetu.

Katiba inayopendekezwa imetambua haki za makundi mbalimbali kama vile wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wasanii, vijana, wanawake na wengine. Pia katiba inayopendekezwa imetambua haki bunifu, mgombea, binafsi, maboresho katika muungano wetu sambamba na kuweka mfumo bora wa kusimamia rasirimali za taifa na kudhibiti mianya ya matumizi mabovu ya rasirimali. Kundi pekee ambalo linadhani halijatendewa haki katika katiba hii ni kundi la wanasiasa wachache ambao kwao tafsiri ya katiba bora ni ile inayokidhi maslahi yao ya kisiasa. Hili ni jambo ambalo watanzania hawana budi kulikataa.

Jambo la msingi ambalo kila mtanzania anapaswa kukubali ni kwamba katiba inayopendekezwa ni bora kuliko ile ya sasa. Wakati ambapo baadhi ya watu wakiipinga na kudai kwamba haiwezi kulivusha taifa letu, wapo watanzania tena asilimia kubwa ambao wanaiona katiba inayopendekezwa kuwa ni chombo madhubuti ambacho kitachochea maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja, na ikifika wakati watanzania wote tukawa na mawazo yanayofanana basi tujue kwamba tunapaswa kujitazama upya. Kutofautiana kimtazamo ni jambo la kawaida na
hiyo ndiyo afya ya demokrasia iache ichukue nafasi yake. Tupingane kwa hoja bila kuhatarisha amani ya taifa letu.

Hongera Mh. Raisi Dr. Jakaya Kikwete kwa kazi kubwa uliyoifanya. Hili ni jambo la kihistoria ambalo halijawahi kutokea katika historia ya Taifa. Hii ni mara ya kwanza kwa Taifa letu kuandika katiba yake kwa kushirikisha wananchi wake. Yapo mataifa ambayo yaliwahi kuandika katiba zao kwa kutumia Bunge la katiba pekee, wapo waliogeuza Bunge la kawaida na kuwa Bunge la katiba. Kwa taifa letu, mchakato umekuwa wa kidemokrasia zaidi kiasi kwamba wapo wanazuoni, wanasiasa na mataifa mbalimbali ambao wameishangaa Tanzania kwa kuruhusu demokrasia kwa kiwango hiki. Kwa hakika Mh. Rais anastahili pongezi na daima watanzania tutakukumbuka na jina lako haliwezi kufutika katika fikra zao.
 
Huwezi ukatengeneza kitu kimakosa, kisha mtu ambaye hana ujuzi ule akakuambia mbona unatengeneza huku kuna makosa ya wazi, wewe una mpiga kofi anayekuonyesha kosa lako na kumlazimisha akulikubali, eti utarekebisha mbele ya safari" Huko ni kutudanganya!

Mfano: Wewe ni muunda bodi ya bus, umeletewa mchoro wa bus litavyotakiwa kuwa na mifumo yake, wewe eti kwa vile ni muundaji una kataa mchoro kisha unatengeneza bus likiwa na viti vizuri ili makundi ya abilia wako wakae kwa starehe, lakini unaweka engine ya bajaji, wind screen ya mbao, mataili ya mbele yako juu ya body, madirisha makubwa kiasi kwamba mtu anapanda na kuteremkia huko huko. Kisha unasema "Bus jipya zuri watu waingie walikubali kwani litakuwa na mwendo wa kisasa!

Nilisha msikia Wasirra, Cheyo na magamba yaliyotunga katiba wanasema, Katiba pendekezwa ina makosa lakini wanasema ni nzuri dunia nzima hakuna! Heri ingekuwa na DOSARI lakini MAKOSA-HAIFAI HATA KIDOGO.
Watu wengine sijui walisoma vyuo gani au huenda hawakusoma kabisa?
Mfano wakuunda mabodi ya basi na mataili na madirisha kuwa sehemu ambayo siyo yake unashabihiana vipi na Katiba inayopendekezwa kwa Wananchi? Watu kama huyu ni wendawazimu na Mashetani wakubwa. Watu wa kuwashangaa ni Waryoba anayetembea na Tume iliyovunjwa! Hivi Tume ya Waryoba ilitumwa kutafuta majibu au maoni? Je kama ni maoni nilazima sasa yote yabaki kwenye Katiba pendekezwa? Je kuna haja gani kukomaa na midahalo wakati wananchi ndiyo wenye maamzi ya kusema ndiyo na hapana? je kama maoni yaliyotolewa ni ya kwao kwanini tusisubili wao waanue kuikataa katiba inayopendekezwa badala yake Waryoba na H.Polepole washupaze shingo kiasi hiki? je wanaajenda gani ya siri.? Eti inadaiwa kuwa eti wanalazimishwa kukubali, jamani tuwe wakweli , nani kafikishwa polisi, mahamani, gerezani, au kapigwa viboko kwa kuikataa Katiba inayopendekezwa? Wewe huna akili, fool, idiot go for bid.
 
Hebu mfikie mahala mmuogope mungu hizi propaganda za kuhadaa wananchi mpaka lini jamani? Mmesha iba sana, mmesha au sana, mmeshatupiga sana, na mmesha tudanganya sana ifike mahara mtuhurumie angalau nasi tuishi kama watu, tushomeshe wanetu kama nyie, tutibiwe kama nyie, tumiliki ardhi kama nyie, tupate maji safi kama nyie nk.

Hebu angalia katiba unayo pigia chapuo, mosi vipengele vyote vinavyo ongelea uadilifu, na uwajibikaji vimenyofolewa ili tu mendelee kutuibia bila kuwepo chombo cha kuwabana, pili haki zote mlizo zitaja hazina maana kwani hata katiba iliyopo sasa ina haki nyingi za msingi kama elimu afya na haki za makundi mbalimbaili lkn hali nimbaya sana. warioba alipendekeza haki hizi zidaiwe mahakamani lakini mmenyofoa ili muendelee kufaidi na wanenu haki zetu na siye ilituandamane muendelee kutuua na kutupiga. Tatu kumekuwepo na ombwe kubwa sana la wizi wa pesa za walahoi na kuweka nje ya nchi, warioba aliliona hili akasema kama wewe nikiongozi usiwe na account inje ya nchi mmenyofoa mkiongozwa na mzee wa vijisenti na magamba ili muendelee kutuibia.

Hakuna kumuwajibisha mbunge hata kama hawanyii wana kile ambacho walikuwa wanatarajia, kweli hiyo ni haki kwa wanachi? hawa wabunge wa kibongo? kazi yao ni kutetea masilahi ya chama tu wala siyo wana nchi,hali ndo itakuwa mbaya sana kwani mwananchi hala lolote tena mpaka uchaguzi unapofika analetewa kanga na chumvi.

Wananchi walipendekeze kwakuwa bunge na mahakama za sasa vimekuwa vya porojo tu havina nguvu yeyote juu ya serikali tutenganishe ,mawaziri wasiwe wabunge na majaji wasiteuliwe na rais mmenyofoa ili tu rais wenu awe juu ya bunge,na mahakama ili mjihakikishie usalama wenu wakati mnapokuwa mnatuibia, mnatupiga mnatupa elimuna afya mbovu, nk.

Yako mengi sana ambayo yanaonyesha katiba mliyopitisha siyo ile tuliyo ipendekeza, najua itapita kwa gharama yoyote ile kama mlivyo fanya kwenye BMK lkn na wapa message yangu kuwa 'chenye mwanzo hakikosi mwisho hata wana waisaraeli waliteseka sana utumwani lkn siku moja walikombolewa, mtutawale vizuri tu tupeni haki zetu na mtimize wajibu wenu kwetu sisi mbumbu hata siku moja mambo yakigeuka msije mkakimbia nchi yenu.
Hakuna Mungu anayeandikwa kwa kuanza na herufi ndogo eti "mungu", isipokuwa miungu ndiyo inayoandikwa kwa herufi hiyo. Kwa taarifa yako sisi Watanzania tumeikubali na tunaingoja kwa hamu Katiba inayopendekezwa tuipigie kura ya NDIYOOOOOO.
 
MM niwashauli ninyi mnao tulazimisha kukubali mawazo yenu kwamba katiba inayo pendekezwa ni nzuli nawasihi mkbuke usemi unao sema ukila na kipofu usshike mkono, hivi haki zipiambazo mmetoa? hizo haki za makundi umezitoa katika ibala ya pili lakini ilbala ya 21 mkasema hakuna mahali pa kuzidai kishelia wala katika mahakama yoyote hamuoni aibu jamani? Au ndi mme tudhalau watz kiasi kikubwa hivi.
 
Zaidi ninawashangaa vijana wanao unga mkono watu ambasio waadilifu katiaka taifa letu, coz mapendekezo mengi yaliyo tolewa na walioba yalikua na faida kubwa kwa ss vijana kwani tungweza kuwawajibisha viongozi nyakati ambazo wameshindwa kua waaminifu kwa kutumia lasilimali na pesa za walipa kodi vibaya, vijana acheni ushabiki wa vyama fikilieni vizuri tunako enda na tz yetu, hivi kuna ubaya gani mbunge asipo wajibika wananchi waliochagua waka muwajibisha?
 
Hakuna Mungu anayeandikwa kwa kuanza na herufi ndogo eti "mungu", isipokuwa miungu ndiyo inayoandikwa kwa herufi hiyo. Kwa taarifa yako sisi Watanzania tumeikubali na tunaingoja kwa hamu Katiba inayopendekezwa tuipigie kura ya NDIYOOOOOO.
Wee achakutapatapa kwa kuwa unapata hizo elfa saba na kutumiwa kama mbeba unga tumboni , jibu hoja.
 
Onyesha huo ubora wake,so kutueleza kutokana na jinsi ulivyoelewa
 
Katiba hii sio tunayoitaka hvyo wafanye vyote but twawasubiri kwa ham tutawauliza maswali yanayohusu maoni yetu ya msingi then automatically hawatakuwa na jibu sahihi so hapo ndipo tutakapo wamwaga wasitufanye sisi katuni
 
Kuandika Katiba kwa kushirikisha wananchini sawa, Kuandika
katiba kidemokrasia zaidi ni sawa, lakini tunatakiwa kuangalia
mbali zaidi ya hapo. Umewashrikisha watu, watu gani?
Demokrasia zaidi imetumika, demokrasia gani? Katiba ni bora
bora kwa nani?
Kama unawashirikisha watu amabo hawako huru
wanakutegemea wewe, wakikupinga unaweza kuwaadhibu.
Huo sio ushirikishwaji huru (undue influence). Wajumbe wote
wa CCM wameikubali katiba inayopendekezwa kwa kutishiwa
kunyang'anywa nafasi zao za kisiasa. Wanasiasa wote wa CCM
wanategemea siasa maisha yao yote kiuchumi, kisiasa hata
kiutamaduni. Unapowatishia kuwanyima ubunge unawatishia
uhai wao, watakubali ili mradiwaendelee kuchaguliwa.
Samwel John Sitta, tulimsikia akisema Kura zisipotimia,
zitatimilizwa. Maana yake Demokrasia itanyongwa kwa
kuchachua. Ushindi unaopatikana kwa kuipindisha demokrasia
hiyo sio demokrasia ya kujivunia. Demokrasia inapaswa
itendeke na ionekane kutendeka. Demokrasia inapotiliwa
shaka kuwa hata marehemu wamepiga kura, watanzania bara
wamepigia kura upande wa Zanzibar, hesabu za idadi ya
waliopiga kura inatiliwa shaka, watu waliohesabu kura ni wale
wale wenye mawazo yanayobali kuelekezwa matokeo yaweje,
sio demokrasia ya kujivunia.
 
Katika siasa hakuna Bahati mbaya kila jambo linamalengo ya kufaidisha wanasiasa na si wananchi. Hawawezi kuruhusu kitu kitakachowabana wao.
 
Exactly, wengi wa wana CCM wanafaham dhahiri mapungufu ya katiba inayopendekezwa. Ila waliogopa kutoipigia kura ya ndio ili kulinda vyeo vyao kwani wasingefanya hivyo vyeo vyao vingeekuwa mashakani kupigwa chini.
 
Guys katiba haifai cha msingi in vijana tuungane kuelimisha jamii ili kuiokoa Tanzania yetu
 
Hebu mfikie mahala mmuogope mungu hizi propaganda za kuhadaa wananchi mpaka lini jamani? Mmesha iba sana, mmesha au sana, mmeshatupiga sana, na mmesha tudanganya sana ifike mahara mtuhurumie angalau nasi tuishi kama watu, tushomeshe wanetu kama nyie, tutibiwe kama nyie, tumiliki ardhi kama nyie, tupate maji safi kama nyie nk.

Hebu angalia katiba unayo pigia chapuo, mosi vipengele vyote vinavyo ongelea uadilifu, na uwajibikaji vimenyofolewa ili tu mendelee kutuibia bila kuwepo chombo cha kuwabana, pili haki zote mlizo zitaja hazina maana kwani hata katiba iliyopo sasa ina haki nyingi za msingi kama elimu afya na haki za makundi mbalimbaili lkn hali nimbaya sana. warioba alipendekeza haki hizi zidaiwe mahakamani lakini mmenyofoa ili muendelee kufaidi na wanenu haki zetu na siye ilituandamane muendelee kutuua na kutupiga. Tatu kumekuwepo na ombwe kubwa sana la wizi wa pesa za walahoi na kuweka nje ya nchi, warioba aliliona hili akasema kama wewe nikiongozi usiwe na account inje ya nchi mmenyofoa mkiongozwa na mzee wa vijisenti na magamba ili muendelee kutuibia.

Hakuna kumuwajibisha mbunge hata kama hawanyii wana kile ambacho walikuwa wanatarajia, kweli hiyo ni haki kwa wanachi? hawa wabunge wa kibongo? kazi yao ni kutetea masilahi ya chama tu wala siyo wana nchi,hali ndo itakuwa mbaya sana kwani mwananchi hala lolote tena mpaka uchaguzi unapofika analetewa kanga na chumvi.

Wananchi walipendekeze kwakuwa bunge na mahakama za sasa vimekuwa vya porojo tu havina nguvu yeyote juu ya serikali tutenganishe ,mawaziri wasiwe wabunge na majaji wasiteuliwe na rais mmenyofoa ili tu rais wenu awe juu ya bunge,na mahakama ili mjihakikishie usalama wenu wakati mnapokuwa mnatuibia, mnatupiga mnatupa elimuna afya mbovu, nk.

Yako mengi sana ambayo yanaonyesha katiba mliyopitisha siyo ile tuliyo ipendekeza, najua itapita kwa gharama yoyote ile kama mlivyo fanya kwenye BMK lkn na wapa message yangu kuwa 'chenye mwanzo hakikosi mwisho hata wana waisaraeli waliteseka sana utumwani lkn siku moja walikombolewa, mtutawale vizuri tu tupeni haki zetu na mtimize wajibu wenu kwetu sisi mbumbu hata siku moja mambo yakigeuka msije mkakimbia nchi yenu.
Sasa ila hayo tote yanawezekana pakiwepo na woga wa MUNGU
 
Back
Top Bottom