kwa kweli wanaosema katiba inayopendekezwa ina dosari au kasoro ni wanafiki na hawafai ktk taifa hili,mana katiba imezingatia mambo yote ya msingi kwa mujibu na mustakabari wa maendeleo ya taifa letu la tanzania,nawaomba watanzania wenye lengo la kuendleza nchi yetu tuipokee katiba na muda ukifika tukapgie kura ya ndio,katiba yetu ni nzuri sana naomba tuipokee,kweli sita ni simba dume amehmiri sana kurupushan za bunge la katiba,hongera rahis kikwete kwa jitihada zako za kuwezesha bunge la katiba,
Nimejitahidi kusoma katiba pendekezwa. Tofauti yake na ile ya 1977 ni ndogo sana. Bado Rais anaendelea kuwa na madaraka makubwa, yaani Rais anateua watendaji wengi ambapo Wananchi hawawezi kuwaondoa, Rais ameendelea kuwa mfalme.
Waziri kaendelea kuwa Mbunge wa kawaida
Wateule wa Rais hawadhibitishwi na Bunge kama ilivyo kuwa katika Rasimu ya Warioba
Wabunge wameongezwa zaidi, hii ni mzigo kwa walipa kodi
Kwa ujumla ni propaganda tu za kusema eti haki za wafugaji. Hii katiba pendekezwa imekidhi matakwa ya watawala na wala si Raia wa kawaida
Wewe ndo mnafiki na wenzako wana ccm wez wakubwa nyie mpaka tuwachome moto cc hatutawapeleka kwenye chombo cha sheria maana nao n wez walewale bali moto ndo unawatosha saaaaana
Kama kwenye eneo la maadili umeona kitu kizuri kilichoandikwa na Chenge, basi huu ni ushahidi tosha kuwa hukuisoma Rasimu ya Pili ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Ukisoma rasimu halafu ukasoma Katiba pendekezwa, ndipo utaona jinsi gani Ile ya Sitta na Chenge ilivyo ya hovyo hovyo tena haistahili kupigiwa kura ya ndiyo.Suala la miiko na maadili ya Viongozi na Watumishi wa Umma, Katiba Inayopendekezwa imeanisha vizuri sana katika Sura ya Nne, ambapo sehemu ya kwanza inaongelea maadili ya uongozi na utumishi wa umma na sehemu ya pili inagusia miiko ya uongozi wa Umma.
Hivyo kuna haja kubwa ya Watanzania kuzisoma kwa makini Sura mbalimbali za Katiba hiyo badala ya kutoa kasoro ama hoja zisizo na mashiko, kwani itakuwa jambo la aibu kudanganya Umma kuwa suala fulani halimo au limetolewa pasipo kuisoma vizuri na kuielewa kwasababu naamini mtu yeyote ambaye ameisoma kwa makini atakuwa na majibu ya hoja mbalimbali zinazoendelezwa na watu mbalimbali, mimi binafsi yangu mwanzo sikuielewa vizuri lakini nimejitahidi kuipitia kwa makini tena mara mbili mbili mpaka nimepata kugundua mambo kadha wa kadha yenye tija kwa maendeleo ya nchi yetu.